Vodacom Premier League (VPL) Simba SC vs KMC FC, burudani ya uhakika Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League (VPL) Simba SC vs KMC FC, burudani ya uhakika Uwanja wa Taifa

Bull Striker Meddie Kagere, anaumwa hivyo anakosekana katika mechi ya leo hii ya VPL.

Get well soon bull striker Mk 14.
IMG_20200301_192744_121.jpeg
 
Kuna muda mchache kabla ya kuanza kwa mchezo huu wa VPL

Naaaaaaam safari ya dakika 90 imeanza uwanja wa Taifa

Simba SC 0-0 KMC FC
 
Namuona Hamisi Changwalu hapa, Refa wa mezani pale.
 
05' mchezo umeanza kwa kasi huku Simba wakimjaribu golikipa Jonathan wa KMC kwa mpira hafifu ambao aliudaka
 
Chama sasa anakwenda kwake Boccooooo lakini mwamuzi wa pembeni anasema Bocco ni offsidie
 
Anakwenda sasa katika eneo la hatari Chamaa, anapangua mabeki anapigaa njeee.

Simba SC 0-0 KMC FC
 
Wanakwenda sasa kwao KMC kwake Charles Ilanfyaaaa...Offside
 
Back
Top Bottom