OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Samagooooool
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samagooooool
Kabisa mkuu, jamaa anajituma sana anaonyesha uchu wa kufunga mabeki wanapata tabu Sana kumzuia huyu.woyo woyo woyooo,samagooooolAhasante sana samata kafungua mlango wa mabao sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu, jamaa anajituma sana anaonyesha uchu wa kufunga mabeki wanapata tabu Sana kumzuia huyu.
2-1 Man City wanaongoza Half timengapi ngapi kwani aston vila huko ?.
Usikute tunamshangila samata kumbe timu yake ishapigwa nne ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah,,,hizo nafasi adhimu sio za kukosa kizembe aisee.ila sio bahatiChama amekosa goli la wazi hapa
Jana mliogopa kuanzisha uzi hapa
Afadhali mje muone mfano jinsi tarehe 8 tutakavyo wapiga katerero