Vodacom Premier League (VPL) Simba SC vs KMC FC, burudani ya uhakika Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League (VPL) Simba SC vs KMC FC, burudani ya uhakika Uwanja wa Taifa

Unapigwa mpira mbele juuu lakini, Anaruka Ilanfya na kuuzuia mpira kwa mkono

Mwamuzi anamuonyesha kadi ya njano
 
Dilunga kwake Second holding midflider Kapombeeee, anapiga mkasiiii goo laaa, Chama anakosa kuunganisha mpira ule
 
Ilafyaaaaaaa anakosa nafasi ya kuandika bao upande wa KMC FC daah

Ilikuwa hatari sana lango la Simba
 
26' Luis Miquissoneeeeeeeee, dooooh mpira unagonga mwamba, ilikuwa nafasi kwa Simba

Simba SC 0-0 KMC FC
 
Naona Vyura wote wanavunga hawauoni huu uzi, na badala yake macho kodo wakimtazama kijana wa Wanamsimbazi akifanya yake dhidi ya Man City.

Yaani iko hivi: HUWEZI KUIKWEPA SIMBA. Kama utagoma kuicheki ikicheza vs KMC, basi utaicheki ikicheza Vs Man City (kupitia Samagooool).
 
Mpira wanamiliki Simba sasa kwake Luis anapiga krosi hatariiii Mohamed Hussein anagonga kichwaaa go laaaaaaaaaa

Anakosa nafasi ya wazi kuandika bao
 
31' mchezo ni mgumu kweli kweli huku KMC wakiziba njia ya kupenya kulifikia lango lao
 
35' Hayaa sasa Counter hiyo kwake Chama, anapenya mpira unamfikia Boccoooooo anapigaaa lakini golikipa Jonathan anadaka

Simba SC 0-0 KMC FC
 
Back
Top Bottom