OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hahaha hahaha hahaha huyu jamaaa hafai daah ni hatari Kama CoronaGoooooooooooooooooooaaal Miquissone
Nilijua tu hawa jamaa watachoka tu huwezi kupaki basi muda wote.Maaaaaaaanina Simba 2,Luis 2
Hahaha hahahaSimba haitaki mchezo mchezo. huu mziki wa second half ukikutana na Yanga anayekata chaji dakika 45,sijui itakuwaje
Watatokwa damu makalioniSimba haitaki mchezo mchezo. huu mziki wa second half ukikutana na Yanga anayekata chaji dakika 45,sijui itakuwaje
Ilikuwa tam Sana ile Manula amecheza, ananikumbusha Ika Kasilas wa Madrid enzi zake.What a save Manula