Vodacom Premier League (VPL) Simba SC vs KMC FC, burudani ya uhakika Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League (VPL) Simba SC vs KMC FC, burudani ya uhakika Uwanja wa Taifa

Kelvin Kijiri yupo chini, huenda hii namna ya kupoteza muda.

Anatoka Dilunga ameingia Deo Kanda,

Haya sasa anakwenda Deo Kanda mpira wa kwanza hatari Kandaaaaaa, lakini golikipa anaokoa.

Ilikuwa hatari kwa KMC, na nafasi kwa Simba kufunga
 
Charles Ilanfya ametoka, ameingia Salum Aiyee upande wa KMC

Hatari kwa upande wa simbaaa wanapoteza KMC
 
Luis Miquissoneeeeeeee Go Go Go
Goooooooooooooooooooaaal

Luis Miquissone anaandika bao la kwanza kufuatia pasi mpenyezo kutoka kwa Claotus Chama na kumkuta Luis na kufumua shuti kali upande wa kulia na kumuacha golikipa akiruka bila mafanikio

Simba SC 1-0 KMC FC
 
Luis anaweka mpira kambani kule Simba 1-KMC 0
 
72' Go Gooooal Goooooooooooooooooooaaal Luis Miquissoneeee

Luis Jose Miquissone anaandika bao la pili upande wa Simba SC baada kazi bomba ya Bocco na Deo Kanda ambaye alipiga shuti likazuiliwa hatimaye mpira ukarudi ukamkuta Luis Miquissone

Simba SC 2-0 KMC FC
 
Hatariiiiii Gooo laaaaaaaaaa, Golikipa Aishi Manula anafanya Saving moja ya hatari

Ilikuwa hatari lango la simba Daah.
 
Back
Top Bottom