Vodacom Premier League (VPL) Simba SC vs KMC FC, burudani ya uhakika Uwanja wa Taifa

kwann haukuisha hapa hapa dsm ??

Al Ahly sikucheza nae?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba usipende Sana kuingiza ushabiki kwenye mambo ya ukweli me mwenyewe ni mshabiki wa Simba lakini niseme ukweli sisi hatujafikia level ya kushindana na team Kama Al ahly, Zamalek, Esperance,Raja Casablanca n.k hizi team kufika robo fainal ni kawaida kwao tofauti na sisi hata soka lao wanaopiga ni kubwa Sana ndomaana tunapoenda kwao utufunga goal 5 wanna wachezaji wenye high quality na high valuable players.
 
wewe ndio hujafika , usitusemee wengine, kwahiyo kusema haujafika huo sio ushabiki ?

jisemee wewe na mtazamo wako wewe , sio utujumlishe na wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi napenda mpira zaidi kuliko ushabiki,bado tunasafari ndefu ,kuufikia Ubingwa wa Afrika,Simba huwa wanajaribu kufurukuta lakini wapi.
Ni ngumu Sana kuwa na beki Aina ya Nyoni,Wawa,Yondani,Yakub na wengine eti upambane na uchukue Ubingwa wa Afrika...bado!
Hapa huwa tunawafunga kwa hamasa tu;
Ni lazima tuwekeze kwa vijana na tuwe wavumilivu.Uwekezaji Kama wa Kipingu pale Makongo,uliwaketa Kaseja,na kundi,lake,au Simba ilivyofanya kwa kina Mkude,Shabalala !Jambo la pili Ni lazima Ligi I we Bora,Ligi yetu mbali ya kuwa na hamasa na fedha lakini haina ubora,tofauti na Kenya au Uganda.
Mwisho tunahitaji kuwekeza kwenye Menijimenti na Utawala katika soka. Bila kuwa na viongozi wenye weledi hatuendi.
Lakini kwa maana ya kupeana peace of mind ' ,acha tuendelee kushabikia timu zetu hizi!
Simba Nguvu Moja Tarehe 08 Yunatangaxa Ubingwa!
Tatizo mashabiki wetu wagumu kukiri Hilo umeongea point kubwa Sana sisi watanzania tumezoea kujipa matumaini hewa na soka letu linamapungufu mengi.
 
Basi sawa umeshinda kumbe nimetumia nyundo kuua sisimizi ningelijua Hilo nisingeangaika kukujibu nimeshajua naongea na mtu wa aina gani.
Mkuu umnipungunzia homa. nikamkumbuka Sheikh Mtopea Temeke mwaja 1996 Uchaguzi Mdogo wa Mrema n4a Cisco Mtiro.Sheikh alikuwa anakwambia CCM kuwa NCCR inakwrnda kuua mbu kwa tofalu!
 
Basi sawa umeshinda kumbe nimetumia nyundo kuua sisimizi ningelijua Hilo nisingeangaika kukujibu nimeshajua naongea na mtu wa aina gani.
umeongea hoja dhaifu sana.. na jibu lazima upewe dhaifu , ngoja jikujibu kuhusu Luis nikutoe na ujinga

mfano
Serge Gnabry wa B Munich , huyu dogo ni zao la Arsenal na alifeli pale , leo ni moja kati ya wachezaji wa kutegemewa wa B. Munich iliyo kwenye ubora wa hali ya juu

Mo Salaa, ka feli Chelsea, mwangalie leo yuko wapi anafanya nini ?

KDB kilimkuta nini Chelsea? leo anafanya nini ?

tunajifunza nini ? swala la mchezaji kufeli club A na kufanya vizuri club B ni Jambo la kawaida kabisa , na haliwez tumika kama kigezo eti fulan kafeli Mamelodi ati galasa.. au mtu kama Deo Kanda , ni ujinga tupu

simba sc at the moment ni moja ya club 15 bora barani Africa , hao ulio wataja wako top 10, kuna umbali gani kutoka top 15 na top 10 ???

na issue ya kufika robo au nusu, unadhan ni kila msimu TP mazembe inafika hapo ?? na makombe yake kadhaa aliyo nayo, anatokaga kwenye mtoano vile vile

Kwanza kabisa nikusahihishe mo Salah hakufeli Chelsea ila alikosa namba nafasi yake alikuwa anagombania number na Willian ambaye alikuwa yupo kwenye form ya Hali ya juu na hata mechi ambazo mo Salah anachezeshwa dk 15 za mwisho alikuwa anacheza vizuri.Luiz kakosa number mamelody kwa sababu anayegombania number nae ana ubora Mara mbili yake Hadi sasa hiv tunaongea jamaa ana goal 11 assist 15 na level ya ushindani wa ligi ya South Africa uwezi kufananisha na ligi ya kwetu bongo.Hii inakuonesha kwanini luiz alikuwa benchmaker ndo maana nimekuambia wenzetu wanawachezaji Bora kuliko sisi kwa namna hii uwezi kushindana nao hata huyo deo Kanda kakosa number Tp mazembe ndo akatolewa kwa mkopo kuja Simba sio kwa sababu hajui la hasha! Ni kwasababu kazidiwa kiwango na anayegombania number nae.Kwa style hii unawezaje kushindana na mamelody au Tp mazembe? Ukiondoa mbali kwanza team za kaskazini.
 
Kwamba Mo Salaa kukosa kwake namba sio kufeli ila Luis kukosa namba ni kufeli , Kwasababu Willian alikua bora kuliko sala yeye hajafeli , ila aliekua bora kuliko Luis kunamfanya Luis kuonekana kafeli

Luis anatoka Ud Songo anaenda Mamelodi ana miaka 22 , it's hard kwa mchezaji wa umri kuingia tu direct kwenye kikos , ameenda chipa ambako hakukaa karudi UD Songo, msimu wake ambao ni huu ulio isha katupiga goli 19 kwenye michezo 30 , alafu anatumika kama ATTACKING MID AU WINGER, mara nyingi Right wing ..

he was 23 year's of age , taja mchezaji mmoja tu kutoka kwenye hizo club ambae ana hizi stats wa umri wa Luis, mmoja tu , remember..he is 24 year's of age

ISSUE YA UBORA WA LIGI
natilia mashaka ufuasi wako wa Simba sports club, natalia sana mashaka .. ukienda kwenye mtandao wa transfer market, Market value ya mchezaji kama Luis ni €180,000, Simba Sports clubs tambua haijasili au kujijenga kwaajili ya ligi ya nyumban hapa , inajijenga kwaajil ya club bingwa Africa, ndio maana leo hii inachukua mchezaji kutoka Tp mazembe, Mamelodi/Ud Songo.. Al hilal, Gor mahia ..sio kwaajili ya ligi ya nyumbani , ni kwaajil ya huko Africa , hao kina Tp sijui Mamelodi waje hapa unadhan watasajilimika kiwepesi tu ?? haiwez kua hivyo , somehow...wana ubora wao , ila we are not far from them , hili gap la point 20 kwenye premier league hapa nyumban halijaja tu. hivi, na pengine tokea umezaliwa hujawah ona gap kubwa namna hii kati ya kinara na anaeshika nafasi ya pili

swala jingine
Hakuna mchezaji wa Mamelodi mwenye hiyo idadi ya goli uliyo andika hapo , unless otherwise ulimaanisha jambo jingine
Screenshot_20200302-145138.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa nikusahihishe mo Salah hakufeli Chelsea ila alikosa namba nafasi yake alikuwa anagombania number na Willian ambaye alikuwa yupo kwenye form ya Hali ya juu na hata mechi ambazo mo Salah anachezeshwa dk 15 za mwisho alikuwa anacheza vizuri.Luiz kakosa number mamelody kwa sababu anayegombania number nae ana ubora Mara mbili yake Hadi sasa hiv tunaongea jamaa ana goal 11 assist 15 na level ya ushindani wa ligi ya South Africa uwezi kufananisha na ligi ya kwetu bongo.Hii inakuonesha kwanini luiz alikuwa benchmaker ndo maana nimekuambia wenzetu wanawachezaji Bora kuliko sisi kwa namna hii uwezi kushindana nao hata huyo deo Kanda kakosa number Tp mazembe ndo akatolewa kwa mkopo kuja Simba sio kwa sababu hajui la hasha! Ni kwasababu kazidiwa kiwango na anayegombania number nae.Kwa style hii unawezaje kushindana na mamelody au Tp mazembe? Ukiondoa mbali kwanza team za kaskazini.
mwisho issue ya Deo Kanda

Tp mazembe waligoma kabisa kumuuza Deo kanda kuja Simba.. kumbuka , Deo alitolewa kwa mkopo Casablanca kabla kutolewa kwa mkopo tena kuja simba , Casa na Tp zote ziko nusu ... Deo ana mambo yake binafsi na kocha na wala si uwezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa nikusahihishe mo Salah hakufeli Chelsea ila alikosa namba nafasi yake alikuwa anagombania number na Willian ambaye alikuwa yupo kwenye form ya Hali ya juu na hata mechi ambazo mo Salah anachezeshwa dk 15 za mwisho alikuwa anacheza vizuri.Luiz kakosa number mamelody kwa sababu anayegombania number nae ana ubora Mara mbili yake Hadi sasa hiv tunaongea jamaa ana goal 11 assist 15 na level ya ushindani wa ligi ya South Africa uwezi kufananisha na ligi ya kwetu bongo.Hii inakuonesha kwanini luiz alikuwa benchmaker ndo maana nimekuambia wenzetu wanawachezaji Bora kuliko sisi kwa namna hii uwezi kushindana nao hata huyo deo Kanda kakosa number Tp mazembe ndo akatolewa kwa mkopo kuja Simba sio kwa sababu hajui la hasha! Ni kwasababu kazidiwa kiwango na anayegombania number nae.Kwa style hii unawezaje kushindana na mamelody au Tp mazembe? Ukiondoa mbali kwanza team za kaskazini.
umeyavamia maji marefu ukiwa huna data ..Top assist wa Absa premier league anazo 8.. Top assist wa Mamelodi anazo 5
Screenshot_20200302-151250.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka mtoane macho leo. [emoji28][emoji28]
Mchezaji miaka 23, sio CF anacheza kama kiungo mshambuliaj au kiungo wa pembeni, anatandika goli 19..kwenye michezo 30, bado hatujasema assists hapo..alafu kuna mtu ana mdharau

........
anyway..hapo jangwan, mtu alie waona Morrson na Luis.. msimwache huyu mtu , anajicho sio kidogo, leo tuna Luis kupitia huyo mtu , sipati picha mngefanikiwa mshusha hahaha..mara vaap muwe nao wote wawil, tungeambia nn watu sisi

ila aliyefanikisha huu mpango wa kumsajili luis heshima kwake
 
Mchezaji miaka 23, sio CF anacheza kama kiungo mshambuliaj au kiungo wa pembeni, anatandika goli 19..kwenye michezo 30, bado hatujasema assists hapo..alafu kuna mtu ana mdharau

........
anyway..hapo jangwan, mtu alie waona Morrson na Luis.. msimwache huyu mtu , anajicho sio kidogo, leo tuna Luis kupitia huyo mtu , sipati picha mngefanikiwa mshusha hahaha..mara vaap muwe nao wote wawil, tungeambia nn watu sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una data !Ila usilinganishe Sana mpira wetu na Mamelodi au Tp,sisi tunajua wenyewe huwa tunawafungaje pale kwa Mchina
 
Back
Top Bottom