umeongea hoja dhaifu sana.. na jibu lazima upewe dhaifu , ngoja jikujibu kuhusu Luis nikutoe na ujinga
mfano
Serge Gnabry wa B Munich , huyu dogo ni zao la Arsenal na alifeli pale , leo ni moja kati ya wachezaji wa kutegemewa wa B. Munich iliyo kwenye ubora wa hali ya juu
Mo Salaa, ka feli Chelsea, mwangalie leo yuko wapi anafanya nini ?
KDB kilimkuta nini Chelsea? leo anafanya nini ?
tunajifunza nini ? swala la mchezaji kufeli club A na kufanya vizuri club B ni Jambo la kawaida kabisa , na haliwez tumika kama kigezo eti fulan kafeli Mamelodi ati galasa.. au mtu kama Deo Kanda , ni ujinga tupu
simba sc at the moment ni moja ya club 15 bora barani Africa , hao ulio wataja wako top 10, kuna umbali gani kutoka top 15 na top 10 ???
na issue ya kufika robo au nusu, unadhan ni kila msimu TP mazembe inafika hapo ?? na makombe yake kadhaa aliyo nayo, anatokaga kwenye mtoano vile vile
Sent using
Jamii Forums mobile app