Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Lipuli FC Uwanja wa Uhuru, Ushindi Pamoja na Burudani

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Lipuli FC Uwanja wa Uhuru, Ushindi Pamoja na Burudani

45' za kumalizia kipindi cha pili zinaanza huku ikiwa hakuna mabadiliko kwa pande zote
 
49' Goooooooooooooooooooaaal goooaaal MK 14 Maddie Kagere anaandika bao la pili akipokea pasi ya Clatous Chama baada ya pasi ndefu kutoka Pascal Wawa

Simba SC 2-0 Lipuli FC
 
56' Goooooooooooooooooooaaal goooooaaal

Dilunga anaipatia Simba SC bao la tatu kwa mkwaju wa penalti baada mwamuzi Martin Sanya kusema Novalt Lufunga aliunawa mpira eneo la hatari.

Simba SC 3-0 Lipuli FC
 
58' mchezaji wa Lipuli FC anapiga mpira na kutoka nje na kuwa goal kick
 
Back
Top Bottom