Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kumbuka ile Simba ya Siang'a (RIP) aliyekuwa kapteni ndiye Kocha Msaidizi wa Simba kwa sasa.Hii simba inarudi kama ya james Siang'a.
Ile simba dozi.. hatar sana kwa timu zinazoisubiri simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinabana na kuloa kwa wakati mmoja.Yanga chupi zinabana,mtapigwa dudu
Vipi bado una maneno?Sven asiwe kama Uchebe kung'ang'ania wachezaji. Toa Dilunga
Vipi bado una maneno?Dilunga anazingua...aende nje!
Manula akiwa majeruhi nani angepewa nafasi?Japo kwangu Kakolanya ni bora kuliko AishiNaona Sven anaanza kumuamini na kumpa nafasi zaidi Beno David Kakokanya, kwangu mimi huyu yuko fomu zaidi ya Manula kwa sasa.
Amini nakuambia Aishi nikipa bora kuliko KakolanyaNaona Sven anaanza kumuamini na kumpa nafasi zaidi Beno David Kakokanya, kwangu mimi huyu yuko fomu zaidi ya Manula kwa sasa.
Thalatha
Mkuu hayo ni mawazo na maoni yako ila kwa upande wangu Kakokanya yupo form zaidi ya Manula sema hajapewa nafasi sana ya kuonyesha kiwango chake, huu ndio wakati wake.
Daah biashara ya leo imeenda tofauti kidogo90+1' kuelekea kumalizika kwa mtanange huu wa VPL
Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha uwanja wa Uhuru ambapo Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao nne bila majibu dhidi ya Lipuli, yakiwekwa kimiani na Kahata 11' Kagere, 49' Dilunga 57' p' na 65' akifunga mawili.
FT: Simba SC 4-0 Lipuli FC
.....Ghazwat ........reporter