Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Lipuli FC Uwanja wa Uhuru, Ushindi Pamoja na Burudani

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Lipuli FC Uwanja wa Uhuru, Ushindi Pamoja na Burudani

Safi kabisa. Asante kwa updates
90+1' kuelekea kumalizika kwa mtanange huu wa VPL

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha uwanja wa Uhuru ambapo Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao nne bila majibu dhidi ya Lipuli, yakiwekwa kimiani na Kahata 11' Kagere, 49' Dilunga 57'p na 65' akifunga mawili.

FT: Simba SC 4-0 Lipuli FC

.....Ghazwat ........reporter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
80663942_1551983674967868_8047529021933617152_n.png

What a goal difference
 
Naona Sven anaanza kumuamini na kumpa nafasi zaidi Beno David Kakokanya, kwangu mimi huyu yuko fomu zaidi ya Manula kwa sasa.
Nilikuwa nawaambia wanaSimba humu kuwa Aussems alikuwa anauwa vipaji wakawa wabishi, na mmojawapo ni Gents. Matola na Sven ni moto, kila mchezaji anapata nafasi ya kucheza, sio walewake kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nawaambia wanaSimba humu kuwa Aussems alikuwa anauwa vipaji wakawa wabishi, na mmojawapo ni Gents. Matola na Sven ni moto, kila mchezaji anapata nafasi ya kucheza, sio walewake kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefulahishwa sana na Kakolanya naye kuanza kucheza Aussein ni Manula Manula Manula, Taifa Manula, Simba Manula kila siku hadi kichefuchefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom