Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Lipuli FC Uwanja wa Uhuru, Ushindi Pamoja na Burudani

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Lipuli FC Uwanja wa Uhuru, Ushindi Pamoja na Burudani

90+1' kuelekea kumalizika kwa mtanange huu wa VPL

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha uwanja wa Uhuru ambapo Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao nne bila majibu dhidi ya Lipuli, yakiwekwa kimiani na Kahata 11' Kagere, 49' Dilunga 57'p na 65' akifunga mawili.

FT: Simba SC 4-0 Lipuli FC

.....Ghazwat ........reporter
Kituo kinachofuata mkuu?
 
Mpira unatufundisha maisha pia. Kagere alichukua mpira wa penati akampa Dilunga apige
Yani kuna sehemu uliniangusha mkuu, kumlaumu dilunga kisa kukosa magoli ulikua unasahau kua Dilunga alikua anacheza vizr kulingana na maelekezo ya mwalimu, ila hakua na bahati ya magoli. Ndo mana hata penati wachezaji wenzake wakampa ili kuondoa mkosi.
Niwapongeze wachezaji kwa kuonesha umoja kwa kumpa penati apige Dilunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom