Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Naunga mkono hoja.Mpira wa leo upigwe kwa Yanga jamani,pasi za maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja.Mpira wa leo upigwe kwa Yanga jamani,pasi za maana
Nikiri wazi hapa mkuu wangu nilikuwa sina taarifa kama Manula ni majeruhi, mimi nafurahia tu kuona Kakolanya anapata nafasi, namuombea heri apone na kurudi uwanjani.Manula akiwa majeruhi nani angepewa nafasi?Japo kwangu Kakolanya ni bora kuliko Aishi
Kituo kinachofuata mkuu?90+1' kuelekea kumalizika kwa mtanange huu wa VPL
Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha uwanja wa Uhuru ambapo Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao nne bila majibu dhidi ya Lipuli, yakiwekwa kimiani na Kahata 11' Kagere, 49' Dilunga 57'p na 65' akifunga mawili.
FT: Simba SC 4-0 Lipuli FC
.....Ghazwat ........reporter
Mkuu, naamini Yesu Kristo amezaliwa moyoni mwako leo. Punguza lugha kali namna hiyo watani wasije wakaona umekuwa arrogant sana.Yanga chupi zinabana,mtapigwa dudu
Mkuu sembo haonekani kwenye hizi habari. Amekumbwa na nini?
hahaaaaaaa ni JangwaniKituo kinachofuata mkuu?
Mkuu, naamini Yesu Kristo amezaliwa moyoni mwako leo. Punguza lugha kali namna hiyo watani wasije wakaona umekuwa arrogant sana.
Daah biashara ya leo imeenda tofauti kidogo
Anyway goli lililofelia leo kufikisha magoli matano ndio tutalofungulia mechi ya tarehe 4
Nikiri wazi hapa mkuu wangu nilikuwa sina taarifa kama Manula ni majeruhi, mimi nafurahia tu kuona Kakolanya anapata nafasi, namuombea heri apone na kurudi uwanjani.
Haya mambo ya kutakia Sikukuu namna hii hata si nzuri Mtani. 😎😎😎
Oyoooooo49' Goooooooooooooooooooaaal goooaaal MK 14 Maddie Kagere anaandika bao la pili akipokea pasi ya Clatous Chama baada ya pasi ndefu kutoka Pascal Wawa
Simba SC 2-0 Lipuli FC
Yani kuna sehemu uliniangusha mkuu, kumlaumu dilunga kisa kukosa magoli ulikua unasahau kua Dilunga alikua anacheza vizr kulingana na maelekezo ya mwalimu, ila hakua na bahati ya magoli. Ndo mana hata penati wachezaji wenzake wakampa ili kuondoa mkosi.Mpira unatufundisha maisha pia. Kagere alichukua mpira wa penati akampa Dilunga apige
Mtani huu moto wa kunitag uwe hivi hivi sio tarehe nne mnakuja hapa baada ya mechi. 😎😎
KMC kabla ya Yanga