Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Lipuli FC Uwanja wa Uhuru, Ushindi Pamoja na Burudani

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Lipuli FC Uwanja wa Uhuru, Ushindi Pamoja na Burudani

Nasubiri Simba wafunge goli la mwisho nifunge hesabu
 
Hivi tayari Simba wameshaanza kutumia falsafa za kocha Sven nani nani sijui? Maana ni burudani kweli kweli na jamaa kaingia na style ya dozi nene. Mwishoni mwishoni hapa Simba ya Aussems ilikuwa haichezi hivi.
 
85'Kandaaaaaaaa, anakwenda lakini beki wa Lipuli anakaa vema

Simba SC 4-0 Lipuli FC
 
Naona Sven anaanza kumuamini na kumpa nafasi zaidi Beno David Kakokanya, kwangu mimi huyu yuko fomu zaidi ya Manula kwa sasa.
 
90+1' kuelekea kumalizika kwa mtanange huu wa VPL

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha uwanja wa Uhuru ambapo Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao manne bila majibu dhidi ya Lipuli, yakiwekwa kimiani na Kahata 11' Kagere, 49' Dilunga 57'p na 65' akifunga mawili.

FT: Simba SC 4-0 Lipuli FC

.....Ghazwat ........reporter
 
90+1' kuelekea kumalizika kwa mtanange huu wa VPL

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha uwanja wa Uhuru ambapo Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao nne bila majibu dhidi ya Lipuli, yakiwekwa kimiani na Kahata 11' Kagere, 49' Dilunga 57' p' na 65' akifunga mawili.

FT: Simba SC 4-0 Lipuli FC

.....Ghazwat ........reporter
Daah biashara ya leo imeenda tofauti kidogo

Anyway goli lililofelia leo kufikisha magoli matano ndio tutalofungulia mechi ya tarehe 4
 
Back
Top Bottom