Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Lipuli FC Uwanja wa Uhuru, Ushindi Pamoja na Burudani

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Lipuli FC Uwanja wa Uhuru, Ushindi Pamoja na Burudani

20' Anakwenda Dilungaaaaaa gooal la la la, namna gani Dilunga anajichanganya na kukosa nafasi ya wazi kabisa kufunga bao, ilikuwa hatari

Simba SC 1-0 Lipuli FC
 
Lipuli FC wanajaribu kulifikia lango la Simba, lakini finishing haijakaa sawa
 
39' Clatous Chama anaangushwa eneo la hatari, lakini mwamuzi anasema si penati, ni janja hiyo

Simba SC 1-0 Lipuli FC
 
45+3' Tairone anaonyeshwa kadi ya njano kwa faulo dhidi ya mchezaji wa Lipuli FC
 
Naaaaaaam dakika 45' za mwanzo zimamalizika Simba SC wakitoka kifua mbele ya bao moja dhidi ya Lipuli FC

Simba SC 1-0 Lipuli FC
 
Simba ina tatizo la strikers,Kagere akikabwa inawalazimu kina Chama wasogee sana,badala ya kutoa pass za mwisho
 
Lupuli wanacheza na mnyama kwa tahadhari kubwa sana, muda wote wako nyuma ya mpira, second half simba akiongeza kasi zaidi wanaweza kuwalazimisha lipuli kufanya makosa mengi zaidi golini kwao na sisi kupata ushindi mnono kama kawaida yetu.
 
Simba ina tatizo la strikers,Kagere akikabwa inawalazimu kina Chama wasogee sana,badala ya kutoa pass za mwisho
Tulisajili viungo wengi mno tukaacha Striker..Ni wakati wa kumleta Justin Songa SimbaNguvuMoja
 
Back
Top Bottom