jamaaa kama age ya 19Anacontrol midfield kama Kroos 😂
kazi kweli kwelisasa hawa wamekuja kucheza au kuzuia?
wataanzaje kucheza mbele ya Simba mkali huyu?,,hata tarehe 3 watu watapaki tusasa hawa wamekuja kucheza au kuzuia?
Jamaa huwa ni mtaalamu wa pasi ndefu zilizonyooka, watu wa mpira tunaziita "ruler"Pasi za wawa ni tamu kama sukari ya zuchu