Vodacom Premier League VPL | Uwanja wa Taifa: Yanga SC 0 - 0 Azam FC

Utopolo wanahonga ili washike nafasi ya pili maajabu kweli wenzao wanawaza ushiriki wa klabu bingwa wao wanasubiri mbeleko
 
Hao wakiwa nafasi ya tatu ligi kuu halafu Azam conf cup wakatolewa na kagera sugar au wakifunga kagera bado tunakutana nao sisi au azam ,lazima hata azam conf cup wasichukue kuwakomoa then hawaendi kimataifa

Hakuna mchezaji uwanjani asiye na dhumuni la kufunga
 
Sawa sheikh Yahya wa mbumbumbu fc
 
Hakuna mchezaji uwanjani asiye na dhumuni la kufunga
Unatakiwa kufunga ukiwa katika eneo sahihi, ukishakua uezidi kitendo chochote kinacho ashiria kutaka kujihusisha na mpira unakua umezidi(off side). kinachotakiwa ni kutojihusisha na uo mpira kabisa ili mchezaji mwenzako ambaye ajazidi aje aucheze.
 
Waganga wa kienyeji mmekuwa wengi siku hizi mnajua kupiga ramli
Hao wakiwa nafasi ya tatu ligi kuu halafu Azam conf cup wakatolewa na kagera sugar au wakifunga kagera bado tunakutana nao sisi au azam ,lazima hata azam conf cup wasichukue kuwakomoa then hawaendi kimataifa
 
Jamani kesho Deportivo la utopolo yupo nyumbani vs Ndanda na odds zake ni 1.4+, vipi tumdhamini au kaka tushangilie mpira tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…