Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo wanahonga ili washike nafasi ya pili maajabu kweli wenzao wanawaza ushiriki wa klabu bingwa wao wanasubiri mbeleko
Hakuna mchezaji uwanjani asiye na dhumuni la kufungaMshika kibendera alikua sahihi kuonyesha offside kwakua kabla ya mfungaji kufunga kulikua na mchezaji mwingine tayari alisha jitayarisha ku ucheza ule mpira kabla ya mfungaji kuwahi na kufunga, Aliye sababisha offside ni yule aliyekua kwenye eneo la offside kabla ya goli kwakua nayeye alikua na dhumuni la kufunga na mwamuzi wa pembeni alisha muona na kunyoosha kibendela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama ni mchazaji wa judo na Babu wawa ni mcheza mieleka?Lamine/ Floyd Mywether.. Faisal/ Antony Joshua
Wabingwa wa mchezo wa Ndondi
Sawa sheikh Yahya wa mbumbumbu fcHao wakiwa nafasi ya tatu ligi kuu halafu Azam conf cup wakatolewa na kagera sugar au wakifunga kagera bado tunakutana nao sisi au azam ,lazima hata azam conf cup wasichukue kuwakomoa then hawaendi kimataifa
Subiri azam conf aje kuwakimbiza mababu zenu pale back 4 ya mikia fcNever Tigere anasema ni muda mrefu sasa umepita bila kupiga Hat Trick.
Sijui anamaanisha nini kuelekea mechi hii.😬
Unatakiwa kufunga ukiwa katika eneo sahihi, ukishakua uezidi kitendo chochote kinacho ashiria kutaka kujihusisha na mpira unakua umezidi(off side). kinachotakiwa ni kutojihusisha na uo mpira kabisa ili mchezaji mwenzako ambaye ajazidi aje aucheze.Hakuna mchezaji uwanjani asiye na dhumuni la kufunga
Mungu na refaYanga wana mungu shubamitii
Hao wakiwa nafasi ya tatu ligi kuu halafu Azam conf cup wakatolewa na kagera sugar au wakifunga kagera bado tunakutana nao sisi au azam ,lazima hata azam conf cup wasichukue kuwakomoa then hawaendi kimataifa
Kalia tako moko FC.Utopolo kama utopolo vyura kama vyura kazi wanaeyo kipigo hakiepukiki na kwa vile yule bondia wao leo hayupo basi kazi wanayo.