Vodacom Premier League VPL | Uwanja wa Taifa: Yanga SC 0 - 0 Azam FC

Vodacom Premier League VPL | Uwanja wa Taifa: Yanga SC 0 - 0 Azam FC

Penati moja na magoli mawili ya wazi yamekataliwa
kama ile ni penati basi mpira wa bongo una sheria 31. nilimsikia hata mtangazaji anasema ni penati.

yaan mtu acheze mpira na kuokoa tokea nyuma bado iwe penati. kama asinge ugusa ilikuwa penati ila kaugusa na kuutoa inakuwaje penati

goli la 2 la azamu lilikuwa goli halali beki za yanga zilisimama makusudi.

NB: B33 ni hatari,walisemeaje hilo.
 
Huyu refa atakuwa amevuta mkwanja wa Simba ili Azam wavutwe shati wasisogee kule juu, maana Yanga haina madhara yoyote kwenye msimamo wa ligi
 
Tunazungumzia mechi ya leo wewe unaleta ya march tar 8,ina maana hapo kati hadi leo hamna mechi mliyoshinda?
kumpiga nyau kuna raha yake hahahahaha lile goli hadi leo mnalikumbuka kuliko goli 5-5-5 za msimu jana
 
Back
Top Bottom