Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MTANI HURUMA NA YANGA UMEANZA LINI WALLAHI DAHjamani muwe na huruma
Sisi ni ndugu,ndo maana inaitwa Simba na YangaMTANI HURUMA NA YANGA UMEANZA LINI WALLAHI DAH
Pamojaaampwaaa tupeane hongera hatakwadrw kingewakaSisi ni ndugu,ndo maana inaitwa Simba na Yanga
Ingekuwa Simba, hayo makelele ya vyura yangekuwa yanazungumzia miamala tuYanga wamebebwa leo.Hawa waamuzi inabidi waangaliwe,makosa hayawezi kuwa mengi namna hii
kama ile ni penati basi mpira wa bongo una sheria 31. nilimsikia hata mtangazaji anasema ni penati.Penati moja na magoli mawili ya wazi yamekataliwa
hata march 8 walibebwa maana faulo za vile zilikatazwa tangu 1995 maana unaweza muua golikipaYanga wamebebwa leo.Hawa waamuzi inabidi waangaliwe,makosa hayawezi kuwa mengi namna hii
Hii ndio fahari pekee iliyopo kwa vyura, hata kama mnachambua mechi ya leohata march 8 walibebwa maana faulo za vile zilikatazwa tangu 1995 maana unaweza muua golikipa
kumpiga nyau kuna raha yake hahahahaha lile goli hadi leo mnalikumbuka kuliko goli 5-5-5 za msimu janaHii ndio fahari pekee iliyopo kwa vyura, hata kama mnachambua mechi ya leo