Daah si mchezo...Yaani hawatembei wala hawasogei..![emoji40]Yanga ni sawa na baiskeli ya kunolea visu kelele nyingi lakini iko pale pale.
Daima Teke Nidhamu Mwiko
wanatujua siku hizi mzee wangu yanga kama yanga wanatujua wakitusumbua tunavunja mtu kiuno bwana sie ndo yangaUtopolo kama utopolo vyura kama vyura kazi wanaeyo kipigo hakiepukiki na kwa vile yule bondia wao leo hayupo basi kazi wanayo.
tutwavunja kiuno ngoja dawa yao ndogo tuAnasemaje huyu msemaji wa Azam FC..!View attachment 1485093
Nabana pumbu kuanzia sasahivi mpaka mpira unaisha ili Yanga wasipate hata goli moja.
Azam piga hizo nyau za utopolo 3-0.
Sikuile pumbu hazikuepo zilisinyaa zikarudi tumboni.Hukubana kwenye ile ya simba ??
Mi skimbii mkuu.labda tu ikitokea dharulaUsikimbie tu.
Vyura nyie timu yenu mnaogopa kuifungulia nyuziMikia musilikimbie bandiko leno hili.
Mume zoea kuanzisha mabandiko kisha muna ya kimbia.
Leo tabia hiyo ikome.