Vodacom Premier League VPL | Uwanja wa Taifa: Yanga SC 0 - 0 Azam FC

Vodacom Premier League VPL | Uwanja wa Taifa: Yanga SC 0 - 0 Azam FC

Yanga badilikeni hatutaki kuyaona yale yale ya Stephano Mwasika vs Nkongo au yale yale ya LamineVs Kazimoto msibadilishe Premier Ligi kuwa Ulingo wenu wa Masumbwi.
 
Hii lineup ya leo yanga kumweka Kaseke namba 2 kazi wanayo
FB_IMG_1592737064903.jpeg
 
Utopolo kama utopolo vyura kama vyura kazi wanaeyo kipigo hakiepukiki na kwa vile yule bondia wao leo hayupo basi kazi wanayo.
wanatujua siku hizi mzee wangu yanga kama yanga wanatujua wakitusumbua tunavunja mtu kiuno bwana sie ndo yanga
 
Nabana pumbu kuanzia sasahivi mpaka mpira unaisha ili Yanga wasipate hata goli moja.
 
Mikia musilikimbie bandiko leno hili.
Mume zoea kuanzisha mabandiko kisha muna ya kimbia.
Leo tabia hiyo ikome.
 
Mimi ni shabiki lialia wa Deportivo la Utopolo nasema hivi leo tunabakwa na Azam
 
Mimi ni Mnyama damu, ila leo nipo na Yanga ishinde iipunguze kasi Azam tupate ubingwa mapema. Tishio la kuchelewa ubingwa ni Azam, sio Yanga
 
Back
Top Bottom