Mwamuzi awabanie hivyo hivyo Azam ili wasitukaribie Simba kule juuNaaaam kipute kimeanza vema uwanja wa Taifa huku Azam FC wakiandika bao ambalo mwamuzi alikataa kwa madai ya kuwa ilikuwa offside..
Yanga SC 0-0 Azam FC
Mwamuzi kala hela za GSM (q)mamaae05' Naaaam kipute kimeanza vema uwanja wa Taifa huku Azam FC wakiandika bao ambalo mwamuzi alikataa kwa madai ya kuwa ilikuwa offside..
Yanga SC 0-0 Azam FC
Bahati mbaya leo Azam ana cheza na Yanga (Timu ya Wananchi) hayo makorokocho uliyo yataja sijui yanacheza na Azam ipi? Au ile ya mwana kwerekwe?Mimi ni shabiki lialia wa Deportivo la Utopolo nasema hivi leo tunabakwa na Azam
Vyura nyie timu yenu mnaogopa kuifungulia nyuzi
05' Naaaam kipute kimeanza vema uwanja wa Taifa huku Azam FC wakiandika bao ambalo mwamuzi alikataa kwa madai ya kuwa ilikuwa offside..
Yanga SC 0-0 Azam FC