Vodacom Premier League VPL | Uwanja wa Taifa: Yanga SC 0 - 0 Azam FC

Vodacom Premier League VPL | Uwanja wa Taifa: Yanga SC 0 - 0 Azam FC

05' Naaaam kipute kimeanza vema uwanja wa Taifa huku Azam FC wakiandika bao ambalo mwamuzi alikataa kwa madai ya kuwa ilikuwa offside..

Yanga SC 0-0 Azam FC
 
Naaaam kipute kimeanza vema uwanja wa Taifa huku Azam FC wakiandika bao ambalo mwamuzi alikataa kwa madai ya kuwa ilikuwa offside..

Yanga SC 0-0 Azam FC
Mwamuzi awabanie hivyo hivyo Azam ili wasitukaribie Simba kule juu
 
05' Naaaam kipute kimeanza vema uwanja wa Taifa huku Azam FC wakiandika bao ambalo mwamuzi alikataa kwa madai ya kuwa ilikuwa offside..

Yanga SC 0-0 Azam FC
Mwamuzi kala hela za GSM (q)mamaae
 
Kikosi cha Azam FC kwa siku ya leo
FB_IMG_1592744915051.jpg
 
12' Nafasi kwa Azam FC wanajenga shambulizi hatariiiii, golikipa Metacha anatokea na kuokoa hatari ileee

Yanga SC 0-0 Azam FC
 
Anapigiwa krosi pale Molingaaaa dooooh mpira umempitaa na mabeki wa Azam FC wanaokoa

Ilikuwa hatariiiii lango la Azam FC
 
Nchimbiiii laaaaaaaa wanakosa tena nafasi ya kuandika bao kwa mara nyingine..Dah namna hii forward ya Yanga SC
 
25' Djodiiiii anapiga golikipa Metacha anapangua, anapiga teeenaaa anacheza maridadi golikipa Metacha

Azam FC wanakosa nafasi ya wazi kuandika bao

Yanga SC 0-0 Azam FC
 
30' Hakuna timu imeona lango, huku Yanga SC wakipata kona ambayo haikuzaa bao
 
Mimi ni shabiki lialia wa Deportivo la Utopolo nasema hivi leo tunabakwa na Azam
Bahati mbaya leo Azam ana cheza na Yanga (Timu ya Wananchi) hayo makorokocho uliyo yataja sijui yanacheza na Azam ipi? Au ile ya mwana kwerekwe?
 
33' Wanakosa tena nafasi ya wazi Azam FC, hii ni dhahir kuwa kila timu upande wa washambuliaji wanakosa utulivu wakifika eneo la hatariiiii

Yanga SC 0-0 Azam FC
 
Azam kuku wetu hawa leo tunamsubiri arudi tunduni tu
 
Chizi we, ata offside unataka likubaliwe?
05' Naaaam kipute kimeanza vema uwanja wa Taifa huku Azam FC wakiandika bao ambalo mwamuzi alikataa kwa madai ya kuwa ilikuwa offside..

Yanga SC 0-0 Azam FC
 
Sibomanaaaaaaaa, anakosaaaa dooooh golikipa wa Azam Haule anacheza maridadi kabisa..lilikuwa kosa la beki wa Azam FC ambapo Sibomana nusura aandike bao
 
Back
Top Bottom