Oyaaa majomba mwera hao
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 290
- 424
Mimi ni shabiki nguli wa Yanga sc niseme tu ukweli leo Azam fc watatufunga, timu yetu ni mbovu sana kwa sasa ukilinganisha na Azam walivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ice cream lazima ziyeyuke kwa joto la jangwani, naona Simba mlienda kutusemea kwa kaka yenu, sasa tunachakaza wote!Kila la heri timu Bora na Bidhaa Bora, piga hawa jamaa wapoteane kabisa.[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Mpira hauko hivyo, kwani tukimfunga Simba ulikuwa na matarajio yoyote? Kila mechi na mambo yake.Mimi ni shabiki nguli wa Yanga sc niseme tu ukweli leo Azam fc watatufunga, timu yetu ni mbovu sana kwa sasa ukilinganisha na Azam walivyo.
Mkuu acha kutafuta sababu mapema, nafasi uliopo ni kulingana na uwezo wako[emoji23][emoji23]Ice cream lazima ziyeyuke kwa joto la jangwani, naona Simba mlienda kutusemea kwa kaka yenu, sasa tunachakaza wote!
jamani muwe na hurumaYanga 0 Azam 9
Wanasogea lakini hawatufikii tulipo..NguvuMojawanagombania mshindi wa pili. kweli mambo yamebadilika sana
Nimesema wote kwa maana ya Simba na Azam. Hili kombe ni mzunguko, tumechoka kunyanyua kwapa kila mwaka, tunatoa nafasi kwa wamchangani nao wazoee makombe.Mkuu acha kutafuta sababu mapema, nafasi uliopo ni kulingana na uwezo wako[emoji23][emoji23]
Sure mkuu yanabadilika fasta sana, majuzi tu kwenye mechi za Simba mashabiki walikuwa na wimbo mmoja tu "hamsa" ila kwa sasa Simba anakaribia kuwa Bingwa.wanagombania mshindi wa pili. kweli mambo yamebadilika sana
Kikosi cha Yanga Leo
View attachment 1485047
Huyu namba 5 anatakiwa alipwe mkwanja mrefu kuliko wote hapo, si kwa uhodari ule [emoji23]Kikosi cha Yanga Leo
View attachment 1485047
Nikweli Mkuu tusubiri tuone. jaMpira hauko hivyo, kwani tukimfunga Simba ulikuwa na matarajio yoyote? Kila mechi na mambo yake.