Vodacom Premier League VPL | Uwanja wa Taifa: Yanga SC 0 - 0 Azam FC

Vodacom Premier League VPL | Uwanja wa Taifa: Yanga SC 0 - 0 Azam FC

Mi sitaki kuongea sana, nawadhamini azam jumla jumla. Yaani nitafurahi Depoptivo utopolo kufungwa, nitafurahi simba kubaki kileleni na nitafurahi kupata hela leo hii jioni.
 
Mkuu acha kutafuta sababu mapema, nafasi uliopo ni kulingana na uwezo wako[emoji23][emoji23]
Nimesema wote kwa maana ya Simba na Azam. Hili kombe ni mzunguko, tumechoka kunyanyua kwapa kila mwaka, tunatoa nafasi kwa wamchangani nao wazoee makombe.
 
Kikosi cha Yanga Leo
IMG_202006173_012108.jpg
 
Back
Top Bottom