Tayari muamuzi wa goli la kuotea la kagere kifungoni miaka mi3U
Uwezo zero labda ya kuotea tu.
Kuna mgomo baridi wachezaji hawamtaki kocha wanadai anawaendesha kama watoto. Lkn hata mwamuzi hayuko fair sana kwa Simba leo nadhan ile kufungia mwenzao itawaathiri kisaikolojia hata kuinyima Simba Fair Play. Time will tell