Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

10' zikiwa zimeondoka Simba wamepata kona ambayo haikuzaa bao huku mashambulizi yakiwa yanaekezwa JKT
 
Luis anamimina maji lakini, mwamuzi anasema mpira ulikuwa umetoka

Simba SC 0-0 JKT Tanzania
 
18' Kona ya tatu upande wa Simba SC, Kichuya anapigaaa laaaaaaaaaa golikipa anapangua na kona doto ambayo haikuzaa bao

Simba SC 0-0 JKT Tanzania
 
23' Wanakwenda sasa Simba kwake Ajibuuuuuuu njeeeeee

Shuti lake linashindwa kulenga lango
 
Pembeni ya Uwanja kwake Adam wa JKT anapigaaa shutiiii kubwaaaaaa njeeee
 
35' mpira asilimia kubwa unachezwa katikati huku kila timu ikitafuta kupenya ngome ya upinzani, kwa mbaaaali JKT wameanza kupoteza muda.
 
40' Hatariiiii Fraga anapigaaa shuti golikipa anacheza kwa kupangua na mabeki wanaondosha hatari ile...!
 
43' Goo laaaaaaaaaa, ilikuwa ni hatari kwa mashuti mawili tofauti tofauti ambayo yalibabatiza wachezaji wa JKT

Simba SC 0-1 JKT
 
Back
Top Bottom