Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

45+2' Kuelekea kuwa mapumziko huku line ya ushambuliaji ikiwa inalisakama lango la JKT bila mafanikio

Naaaaaaam mpira ni mapumziko ambapo JKT wakiongoza bao moja bila.

Simba SC 0-1 JKT Tanzania

••••••Ghazwat
 
Viongozi wafanye maamuzi mapema Simba haina kocha ina muhuni wa kizungu tu Mashabiki acheni kwenda uwanjani waende wenyewe.
 
Leo ndio nimeelewa kwa nini Manara alimkandia sana Morrison...Luis ni galasa la kutupwa khaaa si bora Isabilo wa Polisi TZ
 
Tena afadhali hata uwe unasikiliza Redioni ! Ukiangalia ni kichefuchefu,nakubaliana na mdau hapo juu ...Simba kuna jambo!
 
Hii mechi ushindi upo ni swala la muda tu, mabadiliko yanahitajika kipindi cha pili, kipindi cha kwanza timu imecheza kwa kuzubaa zubaa sana kama Yanga, inabidi tubadili aina ya uchezaji.
Ushindi upo

Simba nguvu moja
 
Nimeona watu wengi wanalalamika sana kuhusu aina ya mpira ambao Simba inacheza kwa kipindi hiki. Ni kweli hata mimi siridhishwi na aina ya uchezaji huu hasa kipindi cha kwanza. Angalau kidogo kipindi cha pili timu inacheza na kushambulia...

Hii yote inasababishwa na aina ya kikosi ambacho huwa kinaanza kwenye mechi husika. Simba katika mechi za hivi karibuni kila mechi kikosi kinakuwa na wachezaje tofauti tofauti, leo kaanza huyu kesho yule kesho kutwa yule kule, kwa sababu hii maelewano au chemistry kwenye timu inakosekana, na ndio maana kadri siku zinavyozidi kwenda timu kupata matokeo inatumia nguvu nyingi sana... tatizo ni chemistry kwenye timu, hili ndio tatizo.
 
Kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Uhuru huku Kagere akipiga shuti ambalo limedakwa na golikipa wa JKT
 
48' Kahata amechukua nafasi ya Kichuya upande wa Simba...!
 
  • Thanks
Reactions: Lee
50' Ajibuuuuu oooooooh, Kona inapigwaaaaaa kona inakuja huku nyuma unapigwa kwake Fragaaaaa goooal laaaaaa

Refa anakataa bao kwa madai kuwa fraga alikuwa ameotea.
 
Hili la fraga ni goli halali, sema kwasababu waamuzi wetu wameshabaa ndio maana hizi blanda haziwezi kuisha.
 
Back
Top Bottom