Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

[emoji34] [emoji34] [emoji34]
Ukisikia mtu mwenye conection
tapatalk_1578458916105.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena. Miaka ya nyuma vilabu hivi vikubwa Simba na Yanga vilikua na kasumba ya kuchukua wachezaji kutola Afrika Magharibi. Nilikua naona wanakosea sana kwani mchezaji wa kiwango kutoka upande huo wa Afrika hawezi kuja Tz kucheza soka la hali ya juu. Ama atakwenda Ulaya au hata Asia au Afrika ya Kaskazini

Nikawa nashauri kua kuna wachezaji kutoka DRC na Burundi wana viwango vikubwa sana na ni cheap lakini ilichukua muda hadi miaka ya hivi karibuni ndio viongozi wa vilabu vyetu wamegundua hilo

Ujinga mwingine upo kwenye kuamini makocha wa kizungu kuwa wana viwango vizuri. Ni kweli lakini sio makocha wote hasa hawa wanaokuja kufundisha Tanzania.

Kama kuna kosa Simba walilifanya ni kumuondoa Masoud Djumaa. Nadhani ipo siku watakuja kugundua kosa lao na pengine yaweza kua too late
Kishingo sio kocha yule ni muuza matikiti uko ulaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waamuzi wa Pembeni wameifunga Simba siyo JKT kamwe hata kocha tusimlaumu hata goli la wazi limekataliwa, Offside za haramu kwa Papaa Jon TFF tutaona, SIMBA TUNASUBIRI HUKUMU YA MWAMUZI HUYU WA LEO.
 
Back
Top Bottom