Vodacom Premier League: Yanga yavunja mwiko uwanja wa Liti / Namfua, kwa kuitandika Singida Utd kwa magoli 3 -1

πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
Hakika tulishinda Mkuu na Juisi nilikunywa ila niliondoa kitunguu nikaacha hivyo vingineπŸ˜‰
Kweli ukiondoa vitunguu mzigo unaenda bila shida mkuu...ila na vitunguu dah!!....sijajua labda ina faida kubwa mwilini.
 
Waalaaahi umejua kunifurahisha!!
Hapo penye mluzi sasa!! πŸ˜‚
Yaani kama jana ile saa naangalia mechi kuna muda ako kamluzi kakawa kanasikika kule kwa mashabiki. πŸ˜‚

Basi ikawa nacheka tu maana huu mluzi kiboko kwani kuweza sisi wanawake tukasome. πŸ˜€πŸ˜€
 
Yaani kama jana ile saa naangalia mechi kuna muda ako kamluzi kakawa kanasikika kule kwa mashabiki. πŸ˜‚

Basi ikawa nacheka tu maana huu mluzi kiboko kwani kuweza sisi wanawake tukasome. πŸ˜€πŸ˜€
Mie hako ka mluzi ndio kananipa raha kweli kweli. Atupatie short course πŸ˜‚
 
Ubora wake tusubiri tuuone kwa timu zenye msuli kama Prison au Wabishi kama biashara united vinginevyo kipimo chake bado.
Naomba nikubaliane na hoja yako ingawa nyota njema huonekana asubuhi.
 
Huyo jamaa nimemtizama kwenye ball control, ball dribbling, and ball dancing, for sure he is classy, mmepata mtu guluguja FC.
Ahsante Mwalimu Kashasha
 
Yaani kama jana ile saa naangalia mechi kuna muda ako kamluzi kakawa kanasikika kule kwa mashabiki. πŸ˜‚

Basi ikawa nacheka tu maana huu mluzi kiboko kwani kuweza sisi wanawake tukasome. πŸ˜€πŸ˜€
Mwali nimejikuta naufufua uzi huu. Tumeipenda wenyewe πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…