Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hamna bana Mtani. Mi mechi zote hizi nakuwepo labda nikose nafasi tu ya kuchat Jf.Yaani mkifungwa huonekani kabisa
Ukiona sipo basi shighuli zimekuwa mingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna bana Mtani. Mi mechi zote hizi nakuwepo labda nikose nafasi tu ya kuchat Jf.Yaani mkifungwa huonekani kabisa
Kweli ukiondoa vitunguu mzigo unaenda bila shida mkuu...ila na vitunguu dah!!....sijajua labda ina faida kubwa mwilini.💃💃💃
Hakika tulishinda Mkuu na Juisi nilikunywa ila niliondoa kitunguu nikaacha hivyo vingine😉
Nakazia hapa. 😂😂😂
Hawanipagi presha hao. Tutakwenda nao sawa tu. 😀😀Haha nadhani hata mtoa mada alifikir mtatoa sare au kuchezea si unacheki alivyoanza uzi wake....Ila sahivi keshaususa uzi wake....Nadhani wanawavutia pumzi gemu ijayo na mlivyowakejeli humu.
Waalaaahi umejua kunifurahisha!!Nakazia hapa. 😂😂😂
Sawa mtani japo kazi hazikunyimi ku comment hata mara mojaHamna bana Mtani. Mi mechi zote hizi nakuwepo labda nikose nafasi tu ya kuchat Jf.
Ukiona sipo basi shighuli zimekuwa mingi.
Yaani kama jana ile saa naangalia mechi kuna muda ako kamluzi kakawa kanasikika kule kwa mashabiki. 😂Waalaaahi umejua kunifurahisha!!
Hapo penye mluzi sasa!! 😂
Ungejua Mtani. Haya bana tuyaache tu.Sawa mtani japo kazi hazikunyimi ku comment hata mara moja
Mie hako ka mluzi ndio kananipa raha kweli kweli. Atupatie short course 😂Yaani kama jana ile saa naangalia mechi kuna muda ako kamluzi kakawa kanasikika kule kwa mashabiki. 😂
Basi ikawa nacheka tu maana huu mluzi kiboko kwani kuweza sisi wanawake tukasome. 😀😀
Naomba nikubaliane na hoja yako ingawa nyota njema huonekana asubuhi.Ubora wake tusubiri tuuone kwa timu zenye msuli kama Prison au Wabishi kama biashara united vinginevyo kipimo chake bado.
Kabisaaa. Huwa nakajaribu lakini wapi.Mie hako ka mluzi ndio kananipa raha kweli kweli. Atupatie short course 😂
Ahsante Mwalimu KashashaHuyo jamaa nimemtizama kwenye ball control, ball dribbling, and ball dancing, for sure he is classy, mmepata mtu guluguja FC.
Kwako Jesse John.Ahsante Mwalimu Kashasha
Mwali nimejikuta naufufua uzi huu. Tumeipenda wenyewe 💃💃💃Yaani kama jana ile saa naangalia mechi kuna muda ako kamluzi kakawa kanasikika kule kwa mashabiki. 😂
Basi ikawa nacheka tu maana huu mluzi kiboko kwani kuweza sisi wanawake tukasome. 😀😀
Wacha ituuue. 🤣🤣🤣Mwali nimejikuta naufufua uzi huu. Tumeipenda wenyewe 💃💃💃