Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Vodafone UK imenunua 65 percent stake katika Vodacom Group na ikumbukwe Vodacom Group wana 65 percent share kwenye Vodacom Tanzania so kama brand ya Vodacom isingekuwa kubwa afrika wangeenda mbali nakubadili hata jina kuwa vodafone maana wao ndiyo majority shareholders.
Sasa kama ni masuala ya uwekezaji wameenda kufanya nn Ikulu?...Nijuavyo mimi Ikulu hakuna ofisi ya uwekezaji, Ikulu NI MAHALA PATAKATIFU, na si eneo la maongezi ya jinsi ya kuwakamua waTz zaidi.
Wanaboa hawa,..kama unabadili nembo kwanini upige hodi IKULU?...mwishoni watataka kuongezea bafu kwenye ofisi yao, then watataka wafike kwanza ikulu kujadili....my naniliu!!
Nikisikia Rostam napata Kichefuchefu hapohapo. By The Way tunahitaji huduma ziboreshwe siyo logo zibadilishwe. Nna maana kwamba Watanzania hawajali kampuni inaitwaje...,wanahitaji huduma bora kutoka kampuni hiyo.
wamebadilisha LOGO tu na rangi kila kitu kipo pale pale, so hakuna ukwepaji wa kodi hapo
<br />Wakiongeza share zao kwenye VODA Africa zikafika 75% wataweza kubadili jina kuwa Vodafone
at least wamejitahidi....si kama wengine ambao kila kukicha ni kuuza tu....hawa kwa mujibu wa maelezo WAMEBADILI LOGO na si kuuza
<br />Haya maRANGI MEKUNDU ni masherti ya freemasons nini? mbona wote wameikimbilia hiyo! ,..Ngoja tuwatazame ZANTEL.