masssaiboi
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 636
- 134
Angalia body language ya JK na Mwamvita ..kulikoni ... udaku
Umbea, angalia ucjesutwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia body language ya JK na Mwamvita ..kulikoni ... udaku
<br />
<br />
inategemea,kumbuka hata hilo jina vodacom ilitokana na majina mawili yaani vodafone na telkom south africa.sasa inategemea na namna wanavyoweza kuona business implication ya kubadili jina la strong brand kama Vodacom.
wamebadilisha LOGO tu na rangi kila kitu kipo pale pale, so hakuna ukwepaji wa kodi hapo
Kha! unamaanisha bado unatamani kutawaliwa na wazungu? au unamaana nyengine ya neno mswahili?.:Cry:Hivyo ndiyo vimbwangwa vya nchi inayoongozwa na rais mswahili. Sishangai kitu.