Vodacom rebranding

Vodacom rebranding

IKULU ya Tanzania haina tofauti na Public Toilet. ukishikwa haja tu unaingia. Rushwa itaisha lini? na peresida wenu ni mnuka rushwa, mnafiki msikae kusema wengine.
 
hahah huwa nacheka sana, hivi kweli unaweza wafurahisha watu wa nje wakati wa ndani wanalia njaa? Kutana na walioko ndani ya VOCOM wakupe yanayojiri, hapa tu ni porojo tunasifia hata vitu ambavyo hafifanyiki. wengi wanaacha kazi mishahara imekuwa tosi.
 
Wadau, re-branding has nothing to do with the tax you are supposed to pay. If today Coca cola decides to introduce a new brand or rebrand Coca cola to Koka Kola it does not mean kwamba they are evading tax, its just a way to present your product in the market.

I hope this re-branding will come with lower tariffs and improved products.
 
hawa jamaa kweli wanamikakati ya kweli walianza na modem zenye logo ya vodafone ikaja simu zao za ZTE wakaweka logo za vodafone ili watu wazoee sasa wamebadili logo,kifuatacho ni.........................!!!!!!!!!!!!!!!
 
kifuatacho ni kufungua brand ya Vodafone Tanzania ila nadhani kutakuwa na faida kubwa sana kwa sababu we`ll be making international calls as we make local calls na kwa bei hiyo hiyo
 
<br />
<br />
inategemea,kumbuka hata hilo jina vodacom ilitokana na majina mawili yaani vodafone na telkom south africa.sasa inategemea na namna wanavyoweza kuona business implication ya kubadili jina la strong brand kama Vodacom.

Mkuu hapo kwenye RED sio kweli neno Vodacom limetokana na maneno Voice and Data communication.
 
Back
Top Bottom