Sijui hiyo control system yao ikoje. Vodacom Tanzania wanakera sana siku hiziMsg ndo usiseme ile ya umefikia kikomo cha matumizi wanatuma hata tisa na wakati bundle bado lipo yaani wanakera balaa
Hizo sekunde kumi zinahesabiwa katika muda uliotumia au ni kabla ya muda uliotumia kuanza kuhesabiwa?Wanajukwaa jumapili njema...