ommymbwambo
Senior Member
- Mar 25, 2014
- 192
- 66
Sifanyi voda, ila kumbuka huduma nzur lazima iwe na gharama, ukitaka vya bure nenda kwa hao wababaishaj
weka picha vinginevyo bado voda ina wakimbiza...
mengine sijui ila iyo A ya sms kuchelewa ni kweli,mpenzi wangu yuko voda mi kwingine,kila siku tunalaumiana mbona sms zake akituma zinanifikia baada ya masaa au hata kesho yake mi nikituma zinawahi kama kawaida!.
So wana Tx na Rx power kubwa frm antenna to MS ndio maana simu zinaisha chaji au ni kiki??
Au wana net iliyofatsa so application zinakua processed fasta???
Mnara na chaji ya simu...still thinking..
hata mimi niko mbioni kwa mfano ukiwa una sh1000 kwenye simu ukajirusha cheka ya mia 400 pindi dk zako zinapoisha awakupi taharifa kama wanavyofanya kwenda mitandao mingine. matokeo yake wakata naile mia600 iliyobaki
huu ni wizi.
hata mimi niko mbioni kwa mfano ukiwa una sh1000 kwenye simu ukajirusha cheka ya mia 400 pindi dk zako zinapoisha awakupi taharifa kama wanavyofanya kwenda mitandao mingine. matokeo yake wakata naile mia600 iliyobaki
huu ni wizi.
Kwa kweli wanaudhi. Jana tu saa 11 jioni nilinunua LUKU kupitia m-pesa. Sms kunijulisha nimefanikiwa imekuja saa 3 usiku! Imagine. Muda wote tunasubiri tuko gizani. Jirani yangu aliishiwa luku saa 2 usiku. Ndani ya dakika 5 akawa amenunua umeme kupitia Tigopesa. Nimekoma. Sitathubutu tena kununua luku kupitia m-pesa.
Voda kwa kweli wanatugombanisha sana na wenzi wetu