Vodacom sasa watapatapa kutafuta wateja

Vodacom sasa watapatapa kutafuta wateja

Sifanyi voda, ila kumbuka huduma nzur lazima iwe na gharama, ukitaka vya bure nenda kwa hao wababaishaj

Anayetaka vya bure nani wewe? tunachotaka sisi ni ubora wa huduma na siyo bure. pia tabia ya wizi wa dakika za maongezi. Nenda kawaambie wenzio tunachotaka sisi ni ubora na siyo vya bure.
 
Ni kweli unayoyasema hata mimi wiki iliyopita niliwasiliana nao kutumia mtandao wa kijamii mmoja nikawalalamikia sana kuhusu mtandao wao ila walinikera sana waliponiambia nipeleke simu yangu wakanifanyie internet settings upya; nikawauliza mbona nikiweka line nyingine kwa mfn Airtel mtandao unakubali vizuri tu.

In short niliwaambia wanahuduma mbaya sana siku hizi na nimeshawahama.
 
mengine sijui ila iyo A ya sms kuchelewa ni kweli,mpenzi wangu yuko voda mi kwingine,kila siku tunalaumiana mbona sms zake akituma zinanifikia baada ya masaa au hata kesho yake mi nikituma zinawahi kama kawaida!.

kweli kabisa. message zinachelewa sana
 
Mie walinikatia mawasiliano ati natakiwa kusajili line yangu wakati line ilishasajiliwa na nilikuwa natumia huduma zao zote ikiwemo M-pesa, na NMB mobile, nilipokwenda ofisini kwao wakanambia ninunue line mpya, nikaona akufukuzaye hakuambii toka,
 
So wana Tx na Rx power kubwa frm antenna to MS ndio maana simu zinaisha chaji au ni kiki??
Au wana net iliyofatsa so application zinakua processed fasta???

Mnara na chaji ya simu...still thinking..

Binafsi nimewahi kumsikia rafiki yangu akisema Vodacom wanammalizia sana chaji kuwa kama mtandao unasumbua simu inatumia nguvu kubwa kusaka network. Akasema mtandao ukisumbua nichunguze bars nitakuta ndani ya dk 5 tu itakuwa imepungua nguvu ya betri. Akanipa mfano pia kwamba ukiwapigia voda kastamakea wakikuambia subiri watakuwekea mziki wa matangazo kwa muda mrefu na yenyewe inamaliza chaji. Ila sikumwelewa sawasawa kwani wengine tulikimbia dhe so kold sayans
 
hata mimi niko mbioni kwa mfano ukiwa una sh1000 kwenye simu ukajirusha cheka ya mia 400 pindi dk zako zinapoisha awakupi taharifa kama wanavyofanya kwenda mitandao mingine. matokeo yake wakata naile mia600 iliyobaki
huu ni wizi.

Voda ni wezi kaka, ukatae, ukubali
 
Kipengele F kimenigusa sana. Yaani nikijiunga na Cheka bundle ya 700mb haichukui Siku tatu imeisha. Wakati huo huo huwa najiunga na Airtel bundle ya 175mb natumia mpaka nasahau.

Nikaona niwe najiunga na 100mb per day but nusu siku tu bundle imekata.

Cha ajabu nikitumia simu ingine yenye Airtel kuconnect (Wi-Fi) kwa bundle ya Airtel natumia Sana na wala haiishi kirahisi hivyo.

Vodacom achen wizi maisha yetu no magumu msitufanye yawe magumu zaidi na zaidi.
 
Usicheze na voda kabisa bw.mmbando, umeruhusu watu kutuma na kupokea pesa bure kwa airtel money yako lakini hakuna mtu amekugeukia, pamoja na kwamba mpesa inakata hela nyingi lakini watu wanaitumia mara zote hata hao wateja wa airtel utasikia 'nitumie kwa mpesa'

...kuliko kupiga propaganda zenu za uongo hapa sumbueni vichwa mjue kwa nini mpesa imedominate hivi.

Kuna siku nilitumiwa pesa kwa airtel money nikazunguka masaa kadha hapa Mwanza kila wakala anasema hafanyi biashara ya airtel money hailipi!
 
Mi natumia mitandao yote, binafsi yote naiona matatizo . Tigo mpaka umpigie mtu mara 3 ndio unampata, net ipo slow. Airtel waongo wanasema wana internet ya speed ya 3.5 g. Hawana hyo. Voda gharama. Zantel huda zai zinanikera ukitaka kujitoa kwenye ep nation, urudi nyengine unakatwa 500 kama gharama
 
hata mimi niko mbioni kwa mfano ukiwa una sh1000 kwenye simu ukajirusha cheka ya mia 400 pindi dk zako zinapoisha awakupi taharifa kama wanavyofanya kwenda mitandao mingine. matokeo yake wakata naile mia600 iliyobaki
huu ni wizi.

There you are! Kuna siku niliweka 10,000 nikajiunga na Cheka 3,500.. ikabaki 6,500 yaani ile Cheka ilikatika mud a si mrefu naona tu sina Internet connection. Nikasema ngoja nijiunge tena labda kwa kuwa nimefanya teethering lol nilitaka zimia maana niliambiwa Salio lako halitoshi....shiiiiit.....voda mnatuumiza sana
 
Kwa kweli wanaudhi. Jana tu saa 11 jioni nilinunua LUKU kupitia m-pesa. Sms kunijulisha nimefanikiwa imekuja saa 3 usiku! Imagine. Muda wote tunasubiri tuko gizani. Jirani yangu aliishiwa luku saa 2 usiku. Ndani ya dakika 5 akawa amenunua umeme kupitia Tigopesa. Nimekoma. Sitathubutu tena kununua luku kupitia m-pesa.

Mimi nilipata(ga) Luku kesho yake. Nilikoma kabisa. Tigo unapata within a minute
 
Mimi wameniibia salio la shilingi 230,000 kwa mwezi wa tatu pekee. Kati ya tarehe 7-11 March walinikwapulia 120,000 toka kwenye salio. Kati ya tarehe 20-25 March wamekwapua tena 110,000- toka kwenye salio langu licha ya kwamba najiunga na cheka bombastic kila wiki.

Ukipiga customer service wanapiga usanii, TCRA wamewekwa mfukoni kwa hiyo imebaki stori tu.

Wezi wakubwa hawa Vodacom, Ni majizi ya kutisha, kwa kweli naichukia mno vodacom. Ni majizi ya mchana kweupe
 
Voda kwa kweli wanatugombanisha sana na wenzi wetu

Poleni sana na hayo matatizo ya voda kuwagombanisha na wenzi wenu, sisi tulishahama zamani na sasa mambo yetu yanaenda safi kabisa kwa kutumia mitandao mingine hasa pale ninapotuma pesa kwa shemeji yako kwa nusu bei.
 
Niliwahi kusema humu jf kua voda imezidi matatizo, internet slow au inakata mara kwa mara. Nikasema nimeamua kujitoa na nikaahidi kuwashawishi ndugu na marafiki zangu nao wajitoe. Mpaka nachangia uzi huu nashukuru nimefanikiwa kuwashawishi ndugu zangu wote na baadhi ya marafiki na naendelea kuwashawishi wote mpaka nihakikishe sina contact za mtu yeyote wa voda.
 
Back
Top Bottom