Vodacom sasa watapatapa kutafuta wateja

Vodacom sasa watapatapa kutafuta wateja

Mambo yako Halotel.

Hivyo vimitandao vingine hovyo hovyoooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Hiyo ya simu kukatika wakati unaongea na mtu imenitokea sana, SMS Kuchelewa, kila saa internet inasoma loaming, af ukiwapigia customer care wanajibu pumba tu
 
Mmmhhhh soo soko lao linaporomoka ukiachana na matangazo yote yale ya kijana wao akiwa stejini na kale ka Dada ka "hapa kasi tuu"
 
Nina miezi nane sijaweka VODA internet bundle. Ni shida sana, Niko Hallotel....
 
Haishukiru sana halotel, imenisahaulisha kutumia voda. Mwanzoni nilikuwa naeeka internet bundle la week lakin linaisha kwa siku mbili halafu kwa matumizi ya kawaida tu, sasahivi kwa halotel internet bundle ya 1500 simalizi kwa week
 
hilo la kuchelewesha sms aise ni kweli sijui wanaanza kuzisoma wao kwanza ndio ziwafikie wahusika
mimi voda imebaki ya ku receive calls & sms ila airtime/voucher naweka kwenye line yangu nyingine kwa ajili ya kupiga na kutuma sms
 
mimi nilijiunga vodacom miaka miwili iliyopita na haikunichukua muda mrefu kubaini udhaifu wa voda.
madhaifu ya voda ni haya,
1) ukijiunga na vifurushi vya wiki vya cheka baada ya siku mbili unaambiwa salio limekwisha wakati kifurushi ni cha wiki.
2) ukijiunga na vifurushi vya internet ni hasara tu, ukijiunga na bando sasahivi baada ya masaa mawili unaletewa sms bando imeisha hata kama umeweka bando ya GB 2.
maoni yangu kwa vodacom, kama wameshindwa kufanya biashara wangefunga biashara yao tu kwasababu kinachoendela ni uwizi na utapeli wa mchana kweupe. wateja tumechoka na tutahama wote.
 
Nawashukuru kwa huduma moja ya my number 1 kwani wananiunganisha bila salio kwani nina miezi miwili sina salio.

Mimi hata unipe line ya voda bure na vocha kila siku za bure siwezi kutumia Vodacom
 
Back
Top Bottom