mimi nilijiunga vodacom miaka miwili iliyopita na haikunichukua muda mrefu kubaini udhaifu wa voda.
madhaifu ya voda ni haya,
1) ukijiunga na vifurushi vya wiki vya cheka baada ya siku mbili unaambiwa salio limekwisha wakati kifurushi ni cha wiki.
2) ukijiunga na vifurushi vya internet ni hasara tu, ukijiunga na bando sasahivi baada ya masaa mawili unaletewa sms bando imeisha hata kama umeweka bando ya GB 2.
maoni yangu kwa vodacom, kama wameshindwa kufanya biashara wangefunga biashara yao tu kwasababu kinachoendela ni uwizi na utapeli wa mchana kweupe. wateja tumechoka na tutahama wote.