Vodacom Sells Tanzania Phone Towers


Kwahiyo sisi wazee wa kapa tu kweli sisi hamnazo!!!
 
Voda wanawauzia minara hao Helios Towers Tanzania.

Baada ya kuuza Voda watakuwa wanamiliki asilimia 24.5 ya share kwenye
Helios Towers Tanzania.

Wache wauze ajira zipanuke
 
9 Mkuu EMT, japo sheria ipo, uwepo wa sheria ni one thing, na utekezaji wa sheria ni another thing!. Makampuni kibao yanaendelea ku change hands, tukiwa supposed kulipwa CGT, find out kulipwa lini na nani?!.

Barracks Gold wamekuwa hawalipi corporate tax kwa kisingizio they are not making any profits!, Tulipo bodily sheria ya madini, wamegomea!. Walivyo ihuisha kuunda ABG, wakaissue IPO na kuzifloat kwa kuzi list LSE!. Kwenye prospectus ya ABG, hakuna popote panapoonyesha is making any loss anywhere!, na ni ingekuwa ni kweli, it's making losses, kwenye due diligence survey kabla ya kukubaliwa kuwa listed LSE, wangegundua na isingekuwa listed!. Data zote hizi ziko open, and yet, hawalipi a single penny!.

Tanzania is one of the best countries to do international business ndio maana tunashuhudia wazungu wakimiminika!, na sasa Wachina!.
Juzi pale Mtwara, Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, ametangaza kuwa investment ya bomba la gesi, itakuwa imejilipa within two years!, nikajiuliza ile 20-year grace period ya ule mkopo wa US $ 1.2b ni ya nini?!.
P.
 
Reactions: EMT
Kwahiyo sisi wazee wa kapa tu kweli sisi hamnazo!!!
Mkuu Mau'Mula, ndio zetu!. Dhahabu inavunwa tunaambulia mashimo!, sasa gesi angalau tunapata mabomba, Aliko Dangote ndio mkombozi wa Wanamtwara!.

All and all, one can never miss what he never had!. Wala one can never claim what he never know!.
Watanzania hatujui na hatujui kuwa hatujui, kwa kutokujua kwetu, tunajiona ndio tunajua san, "much know!" hivyo we are always given a ride!. Kwenye madini tumepewa a good ride, tunasubiria ya kwenye gesi!.
P.
 
Real I hate vodacom company the way it is souping our money shamelessly there is a need to throw its sim cards
 
Baada ya kuiba vya kutosha sasa wanajiandaa kuihama nchi. Naona economic boycott yetu inawatisha. Ile kufikiria tu jinsi ambavyo watapoteza mapato kwa kuzimiwa simu kumewapa kiwewe.

Reducing costs? My foot!
Msisahau: Tunawataka wote muitike ule wito kuzima simu zetu zote kwa siku mbili mfulilizo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…