Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani ni international transactions kati ya Vodacom SA na Hellios SA juu kwa juu ,sisi hapa tunaambulia vumbi!.
Ile deal ya hostile take over kiwanda cha bia cha Kibo ilifungwa juu kwa juu, tuliambulia patupu!.
Transfer from Celtel to Zain to Airtel pia tumetoka kapa!.
Hata from Sheraton-Moven Pick-Royal Palm-Serena sisi ni bila bila bila!.
Kwenye International transactions, Sisi Tanzania ni Mungu saidia!.
Wakati ule tunapigizana kelele za Gulf Stream Mzee Memosa aliweka mpaka bei halisi!, serikali yetu ikalazimisha lazima inunue kupitia maajent ambao ndio hao hao maajenti wa rada, ndio hao hao maajenti wa magari ya jeshi, ndio hao hao maajenti wakuu wa Vodacom na ndio hao hao ambao huwa wanapark Red Ferari zao kwenye garden ya Ikulu siku za dhifa za kitaifa ili wageni wote waone utajiri wao!, huku tukinywa nao na kugonganisha nao glasi za mvinyo kutakiana afya njema!.
Pasco.
Voda wanawauzia minara hao Helios Towers Tanzania.
Baada ya kuuza Voda watakuwa wanamiliki asilimia 24.5 ya share kwenye Helios Towers Tanzania.
Mkuu EMT, japo sheria ipo, uwepo wa sheria ni one thing, na utekezaji wa sheria ni another thing!. Makampuni kibao yanaendelea ku change hands, tukiwa supposed kulipwa CGT, find out kulipwa lini na nani?!.Pasco are you sure? Nilidhani Finance Act 2012 iliziba huu mwanya?
As far as I remember, Section 56 of that Act introduced into the ICTA a new charge to tax arises where the underlying ownership of an entity changes by more than 50 per cent occurs.
The change in ownership triggers a deemed disposal and re-acquisition of assets owned and any liabilities owed by the entity immediately before the change in ownership.
This measure was particularly targeted at the disposal of offshore holding companies, but it can apply equally to an on-shore direct disposal. It is also a deemed disposal at the local level.
Mkuu Mau'Mula, ndio zetu!. Dhahabu inavunwa tunaambulia mashimo!, sasa gesi angalau tunapata mabomba, Aliko Dangote ndio mkombozi wa Wanamtwara!.Kwahiyo sisi wazee wa kapa tu kweli sisi hamnazo!!!
Real I hate vodacom company the way it is souping our money shamelessly there is a need to throw its sim cards
Msisahau: Tunawataka wote muitike ule wito kuzima simu zetu zote kwa siku mbili mfulilizoBaada ya kuiba vya kutosha sasa wanajiandaa kuihama nchi. Naona economic boycott yetu inawatisha. Ile kufikiria tu jinsi ambavyo watapoteza mapato kwa kuzimiwa simu kumewapa kiwewe.
Reducing costs? My foot!
I'm amang those people who plans to discard vodacom sim cards the company is now robbing my air time . I have recharged 1000/= air time through M pesa this morning and received notification when tried to subscrib to internet bundle of 900/= the notification came that you do not enough balance, to check the balance is 797.29 what is it if not thefty? I plan to throw away this anoying simcard[
hahahaaaa same boat.