Vodacom Tanzania led by a Kenyan

yaani mmekuwa mkipiga kelele huku na kumbe siku zote Vodacom tz inaendeshwa na mKenya mwingine!!
View attachment 766939

Tanzania ni chumba cha kulala cha kenya!

Executive Team
See your ignorance, Now you are exposing her to Tanzanian online community..Expect her exit in less than 3 months.
Learn to shut your mouth
 
Halafu ni mdada, these Kenyan ladies are super go-getters. Wanaume Dar lazima wanakimbizwa sana na kuhema hema.
 
Wakenya huwezi watoa popote. Huko Bostwana professionals kama wote ni sisi, SA usitake jua, Europe tuko huko, USA Rais tumewatolea, Australia Senator tumewatolea, Tz ni shamba la bibi, S. Sudan inaendeshwa Nairobi. Yaani nikiona Mbongo akijaribu kupigana na Wakenya namhurumia tu.
 


Isipokuwa Kenya yenyewe tu ndo wanafukuzwa kama Mwizi!
 
Maisha ya watu wa majungu ni maisha ambayo kamwe siwezi tamani kuyaishi. Sitilesi kila dakika.
 
Usisahau London tumewatolea Mayor.
 
I could provide you with multiple names of Tanzanians Mworias but that is petty argument for me

Huyo Mworia wa vodacom alishakua marketing specialist wa Maersk Line Tanzania miaka ya nyuma kabla hajaingia vodacom

Wewe unamfahamu personal?

mimi sileti story za vijiweni hapa!
 
Naona wakenya mmeshaanza kuwa wajinga kwa sasa.
Hebu msikilize hapa huyu binti ujue anavyoongea. Huyu ni mtanzania 100%

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…