Vodacom Tanzania led by a Kenyan

Vodacom Tanzania led by a Kenyan

Naona wakenya mmeshaanza kuwa wajinga kwa sasa.
Hebu msikilize hapa huyu binti ujue anavyoongea. Huyu ni mtanzania 100%

Huyo anaongea na kiswahili mbaya. Huyo ni Mtanzania tu
 
Hawa jamaa wameishiwa point sasa wameanza kuwachafua watanzania.
Yaani jamaa anaanza kutrack watanzania kwa majina.
Hahaha nilikua nataka nimkamate huyu kijakazi mzee upara kiutamu sana

Wanataka kupoozea machungu yao kwa kuwabambikiza watu uraia feki
 
IMG_4926.JPG
 
Wakenya huwezi watoa popote. Huko Bostwana professionals kama wote ni sisi, SA usitake jua, Europe tuko huko, USA Rais tumewatolea, Australia Senator tumewatolea, Tz ni shamba la bibi, S. Sudan inaendeshwa Nairobi. Yaani nikiona Mbongo akijaribu kupigana na Wakenya namhurumia tu.
Na jamii forum ni ya mkenya , pumbavu ndio maana hata mount Kilimanjaro mnasema ni mountain yenu.
 
Na jamii forum ni ya mkenya , pumbavu ndio maana hata mount Kilimanjaro mnasema ni mountain yenu.
Dunia mzima inajua mlima upo Kenya so tunachuma tuwezavyo pale Amboseli na pia Nairobi where it is Visible.
 
Wakenya huwezi watoa popote. Huko Bostwana professionals kama wote ni sisi, SA usitake jua, Europe tuko huko, USA Rais tumewatolea, Australia Senator tumewatolea, Tz ni shamba la bibi, S. Sudan inaendeshwa Nairobi. Yaani nikiona Mbongo akijaribu kupigana na Wakenya namhurumia tu.
Acha kudanganya watu Botswana ,most of engineers ,doctors n.k ni watanzania tena wanapendwa sana kwa utendaji kazi na uaminifu wao

Na kukusaidia ,hadi baadhi ya vyuo vikuu vyao walio formulate system na kuwa deans wa kwanza kwanza kwenye faculty walikuwa watanzania

Acha Porojo za uongo
 
See your ignorance, Now you are exposing her to Tanzanian online community..Expect her exit in less than 3 months.
Learn to shut your mouth

Let them then send all Kenyans in professional positions all over Tz packing. They need those Kenyans more than Kenya!
 
correction tanzania ni chumba cha kujisaidia haja kubwa kwa kenya
 
waambie hata somalia inaendeshwa toka Nairobi...marais wa somalia na sudan kusini wanaishi nairobi
 
Acha kudanganya watu Botswana ,most of engineers ,doctors n.k ni watanzania tena wanapendwa sana kwa utendaji kazi na uaminifu wao

Na kukusaidia ,hadi baadhi ya vyuo vikuu vyao walio formulate system na kuwa deans wa kwanza kwanza kwenye faculty walikuwa watanzania

Acha Porojo za uongo

HAHAHAHA!! Ati expatriate Mtanzania. Acha kunichekesha.
 
Kumbukeni huu ni mtandao huru kwa maoni huru
Punguzeni kauli na maneno ya kuudhi
 
Acha kudanganya watu Botswana ,most of engineers ,doctors n.k ni watanzania tena wanapendwa sana kwa utendaji kazi na uaminifu wao

Na kukusaidia ,hadi baadhi ya vyuo vikuu vyao walio formulate system na kuwa deans wa kwanza kwanza kwenye faculty walikuwa watanzania

Acha Porojo za uongo
Very true 100%. I have my Tanzanian friends who are working in Botswana na wamejenga Mbweni JKT. They are my neighbours
 
Naona wote mnapiga kelele hapa lakini hamuelewi haya mambo yanakwendaje.
Kisheria mwenye share kubwa ndie mwenye uwezo wa kuchagia CEO Wa kampuni. Serikali yetu ina 32% of shares, na inagakiwa ifike zaidi 50% ili serikali iwe na power ya kuchagua CEO. Lakin sasa vodafone ya SA, ambao ndio wamiliki wa vodacom, wana zaidi ya 40% ya umiliki wa hisa, hiyo inawapa power ya ku control campuni yao.
 
Back
Top Bottom