Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,393
Hamieni AIRTEL,hao watawafilisi!!
Habari Kidibo, tafadhali tunaomba kufahamu tatizo lako tuweze kusaidiana.Voda ni wezi kwa kweli kila siku wananiambia watarudisha hela yangu ila hairudi.
Habari Brian, poleni sana. Taarifa tulizonazo ni kuwa tatizo hili lipo maeneo ya PUMA Singida na mafundi wetu tayari wamekwishaanza marekebisho, endapo hautumii mnara wa eneo hilo tafadhali wasiliana nasi PM kwa msaada zadi.Vodacom management bkwa upande wa huku mkoani singida mtandao wenu unasumbua Saaana hasa kwa hapa mjin ni kwa nn......