Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Hamieni AIRTEL,hao watawafilisi!!

nimeshahamia, raha telee..... asante airtel... Vodacom ni kama vile mchwa mharibifu unaokula mbao za nyumba, kadri mwenye nyumba anavyowaua wengine hutokeza zaidi, leo kama utawazuia kwa saruji kesho kutwa mbao zimeliwa, walikopita hakujulikani dawa ni kumuondoa malkia.......naanzisha OPERATION DELETE VODACOM-TUPA KULE LINE YAO..
 
Voda ni wezi kwa kweli kila siku wananiambia watarudisha hela yangu ila hairudi.
 
Wengine humu wanaharibu tu mambo,,vodacom ndo habar ya mjini.
 
Vodacom management bkwa upande wa huku mkoani singida mtandao wenu unasumbua Saaana hasa kwa hapa mjin ni kwa nn......
 
Tunapiga masaa mia tanotumesubr ttkuwa tunatenga ck kwaajir yakuongea na nyny?
 
Voda achen ujinga nimenunua dk 4 mitando yote na nlkua na dk 50 Voda 2 Voda xa iv mnanambia dk zmeisha nahama mtandao ata kama ndo kutuona wajinga cio my no0764463202
 
Naomba maelekezo namna ya kujiunga Na vifurushi vya kimataifa Na kwa mini nikipigiwa SIMU nakatwa salio?
 
Mmenikera sana mnauza voda foni smart 80 alafu mnatuambia unapata 3gb kwa miez 6 alafu mnatoa mb 200: nyie no wezi na nimejuta kupoteza 80 yangu, alafu nashangaa tcra inaacha swala hili, mnatuibia watanzania mchana kweupe, cwapenda na ninawachukia mpaka basis, hata lazima tupige kampeni tuwasuse mmekua wezi sana na sijui kama mnalipa kodi kisawasaw, nyie no janga LA kitaifa.
 
Bundle ikikaribia kwisha alert yenu inachelewa nakuta nimeliwa salio langu lote kwa muda mfupi sana pia Kuna vocha inagoma ya buku mbili nisaidieni ikubali pm niwape namba
 
Voda ni wehu wanatubadilishia bando yani wanataka kutulazmisha matumiz sio fair ivo kumbukeni voda ndo mtandao uliotapakaa mpk vijijini mnawatesa walalahoi.
Kwel naamini kua vodacom kazi ni kwetu.na tutahamaa
 
Vodacom management bkwa upande wa huku mkoani singida mtandao wenu unasumbua Saaana hasa kwa hapa mjin ni kwa nn......
Habari Brian, poleni sana. Taarifa tulizonazo ni kuwa tatizo hili lipo maeneo ya PUMA Singida na mafundi wetu tayari wamekwishaanza marekebisho, endapo hautumii mnara wa eneo hilo tafadhali wasiliana nasi PM kwa msaada zadi.
 
Back
Top Bottom