Vodacom Tanzania
Official Account
- Aug 12, 2013
- 324
- 126
- Thread starter
-
- #2,001
Pole snaa Thino, ni kwamba wakati unapiga kunakuwa na wateja wengi wanaohudumiwa hivyo tunaomba uvumilivu wako, unaweza pia kupiga namba 15366 ambayo ni ya haraka zaidi.Tunapiga masaa mia tanotumesubr ttkuwa tunatenga ck kwaajir yakuongea na nyny?
Habari KPClassic tafadhali tunaomba namba ya simu kwa msaada zaidi.Voda achen ujinga nimenunua dk 4 mitando yote na nlkua na dk 50 Voda 2 Voda xa iv mnanambia dk zmeisha nahama mtandao ata kama ndo kutuona wajinga cio my no0764463202
Habari Ziege, bado tunafanyia marekebisho vifurushi hivyo ndugu mteja. Ukipigiwa simu unachajiwa kwasababu unatumia namba yako nchi nyingine ambapo anayekupigia huchajiwa gharama ya kawaida kana kwamba kapiga simu kwa mtu aliyepo nchini na wewe hutozwa gharama za ziada kuunganisha simu hiyo kimataifa. AhsanteNaomba maelekezo namna ya kujiunga Na vifurushi vya kimataifa Na kwa mini nikipigiwa SIMU nakatwa salio?
Mmenikera sana mnauza voda foni smart 80 alafu mnatuambia unapata 3gb kwa miez 6 alafu mnatoa mb 200: nyie no wezi na nimejuta kupoteza 80 yangu, alafu nashangaa tcra inaacha swala hili, mnatuibia watanzania mchana kweupe, cwapenda na ninawachukia mpaka basis, hata lazima tupige kampeni tuwasuse mmekua wezi sana na sijui kama mnalipa kodi kisawasaw, nyie no janga LA kitaifa.
Network yenu mbaya sana hata picha hazifunguki Marangu mtoni vip 3g mnampango huo?
Poleni sana, tafadhali tunaomba radhi kwa usumbufu, mafundi wetu wanashughulikia suala hili.mie nipo marangu Mtoni jirsni na marangu lutherani hospital. yaami internet ipo slow ile mbaya
Fanyemi utaratibu wa 3G
Pole sana Spongeman, tafadhali tunaomba namba ya simu PMMbona nikitaka kukopa mpawa sijibiwi
Habari Dizzle, ujumbe wa kumfahamisha mteja kuwa kifurushi kimeisha hutumwa, tunaomba namba ya simu kuangalia suala hili na tutakupatia jibu.Bundle ikikaribia kwisha alert yenu inachelewa nakuta nimeliwa salio langu lote kwa muda mfupi sana pia Kuna vocha inagoma ya buku mbili nisaidieni ikubali pm niwape namba
Voda ni wehu wanatubadilishia bando yani wanataka kutulazmisha matumiz sio fair ivo kumbukeni voda ndo mtandao uliotapakaa mpk vijijini mnawatesa walalahoi.
Kwel naamini kua vodacom kazi ni kwetu.na tutahamaa
Tutawasiliana nawe kwa msaada zaidi.0756525889 Kwanini haipati mkopo na M.PAWA hata nikiweka akiba????? USAJILI WOTE NIMEKAMILISHA.
Kupiga simu huduma kwa wateja ni BURE mkuu, piga namba 100.Kwa nn mtoze tsh 100 kupiga huduma kwa wateja wakati matatizo yenu ndio yanafanya tupige simu.
Duh....customer care shughuli aiseee.......lakini hiki ndio kioo halisi mtaani.....
Habari Dizzle, ujumbe wa kumfahamisha mteja kuwa kifurushi kimeisha hutumwa, tunaomba namba ya simu kuangalia suala hili na tutakupatia jibu.
Habari Prudnc, mabadiliko yanapotokea huwa ni katika kuendena na kile ambacho wateja wanahitaji zaidi. Na mara nyingi hufanywa hivi kwa maboresho. Tungependa kufahamu bando ipi unayoizungumzia.