Ivi ni kwa nn pale unapinunua salio kwa mpesa unaporusia kwa mara ya pili kununua ndani ya masaa 24 inakataa kufanya huo muamala wa pili?
Katika mtandao ambao huna dhuluma ni nyie vodacom mie mmenidhulumu hivihivi naona. Mmekula salio la tsh 29 elfu kwa mmasaa ndani ya TABLET et kwa kuwa nimetumia internet na tena nilikuwa na kifurushi nilituma email moja tu. Nimewaambia mejifanya mnanidhulumu. Nimeona bora kwa matumizi nihamie airtel na nyie siku hizi napokea tu siweki vocha na ninavyoambia watu wengi Anaona mnaonea watu. Nina mpango nikifika dar nipelzkz kesi tume ya mawasiliano nahesabu pesa zangu kama ziko ktk akaunti kama ya escrow. Hâta nikiwzka salio halitazidi vocha ya emfu moja
Mmenionea sana
Na wewe kuweka Salio la Tsh. 29,000/= ni sifa za kijinga
Hapa umetudanganya.
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania