Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Mi walinitoa kwenye huduma zao za kijambazi sasa salio nalikuta,niliwasiliana nao kipitia page yao fb
 
hii issue ya kununua vifurushi vodacom inakera sana unaweka hela ununue kifurushi unachotaka...kutokana na salio ulilonalo...eti unaambiwa salio lako halitoshi...i hate this..
 
Voda nilitumiwa elf 5 ya muda wa maongezi wakaiba mikajuta elf 2
Cna mpango na line yao tena nahamia smart
 
Vodacom wanashangaza sana an ukishaunga kifurushi cha wajanja ni shida sana..maana hata ntwk itasumbua na speed ya I ternet inapungua sana kuliko kawaida...sasa sijui ndiyo wanabania speed kwakweli inakera hiki kitu sana.
 
Katika mtandao ambao huna dhuluma ni nyie vodacom mie mmenidhulumu hivihivi naona. Mmekula salio la tsh 29 elfu kwa mmasaa ndani ya TABLET et kwa kuwa nimetumia internet na tena nilikuwa na kifurushi nilituma email moja tu. Nimewaambia mejifanya mnanidhulumu. Nimeona bora kwa matumizi nihamie airtel na nyie siku hizi napokea tu siweki vocha na ninavyoambia watu wengi Anaona mnaonea watu. Nina mpango nikifika dar nipelzkz kesi tume ya mawasiliano nahesabu pesa zangu kama ziko ktk akaunti kama ya escrow. Hâta nikiwzka salio halitazidi vocha ya emfu moja
Mmenionea sana
 
Ivi ni kwa nn pale unapinunua salio kwa mpesa unaporusia kwa mara ya pili kununua ndani ya masaa 24 inakataa kufanya huo muamala wa pili?
 
Mnanichanganya sana vodacom nikiweka salio mnagoma kutoa nandle eti huwezi kununua salio halitoshi" nini hiyo ni Mimi 0755672777
 
Kujiunga vifurushi vyenu ni very complicated maelezo meng we njia moja nyepesi tuu huo ni wizi
 
Katika mtandao ambao huna dhuluma ni nyie vodacom mie mmenidhulumu hivihivi naona. Mmekula salio la tsh 29 elfu kwa mmasaa ndani ya TABLET et kwa kuwa nimetumia internet na tena nilikuwa na kifurushi nilituma email moja tu. Nimewaambia mejifanya mnanidhulumu. Nimeona bora kwa matumizi nihamie airtel na nyie siku hizi napokea tu siweki vocha na ninavyoambia watu wengi Anaona mnaonea watu. Nina mpango nikifika dar nipelzkz kesi tume ya mawasiliano nahesabu pesa zangu kama ziko ktk akaunti kama ya escrow. Hâta nikiwzka salio halitazidi vocha ya emfu moja
Mmenionea sana

Na wewe kuweka Salio la Tsh. 29,000/= ni sifa za kijinga
 
Na wewe kuweka Salio la Tsh. 29,000/= ni sifa za kijinga

Kuna wadau wanaweka salio zaidi ya hilo, unashangaa 29,000
Kuna wadau hawajui kujiunga kwenye vifurushi wao ni kujaza salio na kutwanga kotekote. Period
 
Nimekuwa mteja wa Vodacom kupitia no.0753 345 000 toka 2002, Mpawa natunza hadi naambiwa nimefikia kiwango cha mwisho, kila Siku najiunga kifurushi, nikipigwa tafu narejesha kwa muda muafaka (japo sikumbuki Mara ya mwisho ilikuwa lini), miamala yangu ni kupitia M-pesa. Nikipiga customer care Mara Moja naammbiwa 'labda' tutajie namba fulani..nikirudi name hizo namba naambiwa nilipie sh.100.. NAJIULIZA. NI KIBURI CHA KUPENDWA? AU KUDUMU NAO MUDA MREFU WANAHISI NIMEKUWA MTEGEMEZI NA MITANDAO MINGINE SIIJUI? HAWAJUI KAMA NAWEZA KUHAMA NA WATEJA ANGALAU KUMI?.. WAMEZIDIWA,WANATAFUTA NAMNA YA KUTUPUNGUZA?

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania[/I][/SIZE][/FONT][/QUOTE]
 
wajanja wajanja wakubwa vodacom. Bila mpesa msingekuwa na wateja sema hako ndo kanawabeba sana
 
jamani nyie voda kuna tatizo mnalo yaani nikichati na mtu wa tigo text zinachelewa kwenda mfano text nimetuma jana yaani leo ndo inafika ........sijui ndo mnatukomoa...alafu pia yaani mtu kanitumia text mara moja tu yaani hiyo text inaingia kwenye simu kila baada ya lisaa limoja....0759378271 hii ndo namba angu.
 
Habari vodacom,
Tafadhali naomba msaada wa mambo ya M-pesa na LUKU-TANESCO nimetuma maombi yangu kwenye PM

Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
 
Back
Top Bottom