Ngahekapahi
JF-Expert Member
- May 8, 2012
- 553
- 367
ongezeni mb bana mnabana sana washikaji du miatano mb 50 tu
Mkuu mie niko voda toka day one.. Na sio muumini wa kubadilisha namba but kama ikitokea hawatabilisha hii nitawahama rasmi na sim card yao nitawarudishia ili wakamuuzie mtu mwingine namba yangu.. Huu ni ujinga completely.. Uhuni uliopitiliza na ukahaba toka kwa kampuni kubwa kama ya Vodacom..
sio Voda tu hata Tigo pia, shs 499 unapewa MB 8, huu ni wizi
voda kwaherini mitandao ipo mingi nna haki ya kuchagua.
KWA MWEMDO HUU SOON NITAHAMIA AIRTEL
VODA MMESHINDWA KAZI
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
Hivi ule mradi wa TCRA wa kusambaza mkonge ( optic fibers) nchi nzima uliishia wapi? Kwa maana badala ya gharama za net kushuka naona ndio zinapanda
Sasa mb8 ndo ntafanyia nin? Kwel kaz nikwangu
Jibu nililopata baada ya copy huu Uzi kwenye page yao ya Facebook