Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Duuh siku ya jana nilishangaa inawezekana vipi mm niunge 100MB ziishe ndani ya dakika 30 tu?
Nkasema labda leo Vodacom wanakasi sana nkaunga bundle ingine within minutes nayo ikaisha nkabidi nianze kutumia WiFi kutoka kwenye Router yenye modem ya Zantel...

Leo asubuhi nanunua package nashangaa 8MB
Bila taarifa yoyote

Daah hii mijamaa wezi naivutia pumzi itanibidi kuama fasta
 
Mkuu mie niko voda toka day one.. Na sio muumini wa kubadilisha namba but kama ikitokea hawatabilisha hii nitawahama rasmi na sim card yao nitawarudishia ili wakamuuzie mtu mwingine namba yangu.. Huu ni ujinga completely.. Uhuni uliopitiliza na ukahaba toka kwa kampuni kubwa kama ya Vodacom..

Kwanini tusigome na kuandamana ? Huu ni wizi Wa nje nje.watatuburuza sana mwaka huu tukiwachekea hawa
 
sio Voda tu hata Tigo pia, shs 499 unapewa MB 8, huu ni wizi

Mkuu huu ni mkakati wenye mkono wa kisiasa.. Nia kubwa ni kudhibiti wimbi la mageuzi la kwenye mtandao.. wanaamini mitandao ya kijamii itatumika sana kuhamasisha wananchi na haswa vijana kufanya mageuzi..

Ni hatari..
 
Jibu nililopata baada ya copy huu Uzi kwenye page yao ya Facebook
 

Attachments

  • 1423724049775.jpg
    1423724049775.jpg
    24.4 KB · Views: 173
KWA MWEMDO HUU SOON NITAHAMIA AIRTEL
VODA MMESHINDWA KAZI
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
 
Hivi ule mradi wa TCRA wa kusambaza mkonge ( optic fibers) nchi nzima uliishia wapi? Kwa maana badala ya gharama za net kushuka naona ndio zinapanda
 
KWA MWEMDO HUU SOON NITAHAMIA AIRTEL
VODA MMESHINDWA KAZI
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb

Huu no upuuzi yaani leo hii na hama. Uhuni gani huu
 
Hivi ule mradi wa TCRA wa kusambaza mkonge ( optic fibers) nchi nzima uliishia wapi? Kwa maana badala ya gharama za net kushuka naona ndio zinapanda

Zile zilikua ni propaganda za masisiemu tu hakuna kitu…
 
Huu mtandao wa vodacom naweza kusema wasipokuwa makini watapoteza wateja wengi sana. Kwa mfano mm nimekuwa mteja wa voda kwa karibu miaka 5 na nilifanya usajiri katika kile kipindi cha usajili bahati mbaya sana nikaambiwa sim card yangu haijasaijiliwa usajili uliopo ni wa muda tu hivyo niende ofisi yoyote ya voda kwa usajili kamili. Hiyo ilikuwa 2014. Nilikwenda nikiwa nimeambatanisha na copy ya kitambulisho. Nikaambiwa usajili wako umekamilika. Mwaka huu January naambiwa naambiwa tena usajiri wangu ni wamuda sijasajiliwa. Kiukweli wameniboa hata line yao sitaki kuitumia tena maana ni wababaishaji.
 
Jibu nililopata baada ya copy huu Uzi kwenye page yao ya Facebook

Duuh kumbe kwa 9999 unapata MB 60!!!!! Duuh hii package haijawahi kuwepo duniani, Walioipanga nadhani walikua wamesha vuta kitu cha Arusha. Sidhani kama kuna watakao endelea kubaki Voda kwa urasimu kama huu, Labda wakulima wasio na shida ya Mb.
 
Kitu airtel baba lao👊👊👊👊
 

Attachments

  • 1423735615196.jpg
    1423735615196.jpg
    14 KB · Views: 200
Back
Top Bottom